Tanzia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Ibrahim Kaduma amefariki dunia

Nafikiri huyu ni ndugu yake kabisa John Kaduma, aliyekuwa mchoraji maarufu wa zile katuni za gazeti la Sani miaka hiyoo.

Mungu awafariji wafiwa wote.
 
Mungu ailaze roho ya Marehem mahala pema peponi..Amiin











Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Marehemu ameacha mjane, watoto watano na wajukuu tisa.
Yaani kaacha Watoto watano na wajukuu Tisa.Hao Watoto hawajamtendea Haki baba yao.Wana Watoto Tisa .Ukigawa hao wajukuu tisa Ukigawa kwa Watoto watano wa Marehemu Ina maana kila mtoto mmoja wa matehemu kazaa mtoto mmoja na nusu!!! Hi Sio sawa.Nyie Watoto wa Marehemu acheni uvivu wa kuzaa loooo.
 
Kuna funzo hapa. Reginald Mengi alifariki akiwa na miakam77 Hana mkwe Wala wajukuu
Yaani kaacha Watoto watano nwajukuu Tisa.Hao Watoto hawajamtendea Haki baba yao.Wana Watoto Tisa .Ukigawa hao wajukuu tisa Ukigawa kwa Watoto watano wa Marehemu Ina maana kila mtoto mmoja wa matehemu kazaa mtoto mmoja na nusu!!! Hi Sio sawa.Nyie Watoto wa Marehemu acheni uvivu wa kuzaa loooo.
Kuna la kujifunza hapa Mengi amefariki akiwa na miaka 77 ameacha watoto tu hakuna wakwe Wala wajukuu
 
Back
Top Bottom