Wakirsto acheni chuki zenu kwa Waislam kumtukana marehemu Sheikh Ilunga msijione nyie ndiyo wenye haki ya matusi tunaishi kwa kuvumiliana wala msidhani Waislam hawawezi kuwajibu, endeleeni lakini kumbukeni shilingi ina pande mbili haya mambo ya misiba ni yetu sote leo kwetu kesho kwenu yatakapotokea kwenu muwe wavumilivu.
kwangu amenileketea majnga alisababisha padri kuuliwa
Kahtaan huwa nakushangaa, unaposema habari za kubaka watoto kwa maana nyingine unakuwa unamdharirisha mtume wetu sisi, hao wananabaka ni kwa utashi wao wala hawajaambiwa. Ebu soma hapa uone mtume wetu alimfanya nini mtoto Muslim (8:3309) , Bukhari 58:234.
Lakini pia soma hapa uone alimfanya nini mke wa mwanae wa kulea Sura 33:37
Kuhusu Pombe, hapa pia mtume wetu anawaagiza watu wanywe pombe (Surah 4:43)
Poleni wafiwa na Sheikh Ilunga RIP
Ila tujifunze yaompata mwenzetu, badala ya kuhubiri imani yake, anashambulia Ukristo.
Nilijua mwisho wake hauko mbali, alitakiwa aenezr upendo, ushirikiano na amani, si uongo na mifarakani- ngome ya Ibilisi.
Ni ilunga yupi? Yule mwongo na mchochezi wa kidini au mwingine!?
Niliwahi kuona video akisema eti askari jasiri waislaam wa mkwawa walikiteketeza kikosi cha wakoloni wa kijerumani pale lugalo Dar. Sijui hiyo ni historia ya wapi!
Isitoshe alikuwa anachochea waislaam kuchukua silaha kuwashambulia wasiokuwa dini yao.
Pamoja na hivyo kama ametwaliwa sio jambo la kusherehekea. Mungu amsamehe dhambi na kuweke roho yake pema peponi.
Ritz, mimi yule shekhe Mkuu wa Dar es akifariki dunia lazima nitakwenda msibani au kutoa mchango wangu. Lakini huyu jamaa kasababisha Padre kuuawa Zanzibar, unajua gharama ya kuandaa Padre?, Padre anaandaliwa kwa Miaka 7 au 8. Sasa mtu kama Ilunga akiondoka kwanini isiwe sherehe?
acha oungo wewe
Kakende wewe kweli punguani Padri wenu kauliwa na wenzake aliokuwa anafanya nao biashara ya madawa ya kulevya coceine.Ritz, mimi yule shekhe Mkuu wa Dar es akifariki dunia lazima nitakwenda msibani au kutoa mchango wangu. Lakini huyu jamaa kasababisha Padre kuuawa Zanzibar, unajua gharama ya kuandaa Padre?, Padre anaandaliwa kwa Miaka 7 au 8. Sasa mtu kama Ilunga akiondoka kwanini isiwe sherehe?
Tayar amekwisha enda kwenye milk ya allah (s.w)
HAYAT USTADH ILUNGA .H. KAPUNGU
Waislam waliweza onyesha ushirikiano kwan watu walifurika toka pande mbali mbali nchini katka harakat za kumzka aliye kua shujjaa wao katka dini. Ustadh alipgania haki siku zake za maisha kwan aliweza onyesha n wap pamesahaulika na wape pamedhulumika nchini katka mas-ala ya dini. Siku zote alikua n adui wa makaafr kwan hakusita kusema ukwel na alikua n kpenz cha waislam.hakutishika na kifo pale alipovamiwa na kukatwa mapanga lakn allah hakuuchukua uhai wake na aliendelea na kaz yake ya LLAAA ILAHHA ILLA LLAAH.japo alishakamatwa sana na kutiwa kizuizini mara nyng lakn hakusita kuitangaza dini yake.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE PAHALA PEMA PEPONI
aaaaaamin.