KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan Kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.
Swala ya maiti itaswaliwa msikitini wa Kichangani-Magomeni na atazikwa Leo.
Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.
===============
UPDATE:
Sheikh Ilunga aliyefariki Dar es Salaam, anatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwinyimkuu yaliyoko Magomeni Mapipa.
Maiti yake itasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni - Dar es Salaam katika sala ya Alasiri saa kumi jioni.
Sheikh Ilunga ambaye alikwenda nchini India kwa matibabu, aliwahi kukamatwa na Polisi na kufunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kutoa mahubiri ya uchochezi.
Msiba wake upo Mbezi - Goigi, jijini Dar es Salaam.

Sheikh alikuwa mgonjwa kitambo tu. Msiba upo Mbezi, atazikwa leo mida ya saa 10 jioni makaburi ya Mwinyimkuu, hatosafirishwa kupelekwa Mwanza!