chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,849 Reaction score 29,569 Dec 14, 2013 #21 Watu wa ilala poleni sana R.I.P Abdulli
N nummy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 587 Reaction score 166 Dec 14, 2013 #22 MziziMkavu said: msiba wa hatib clean heart. uliotokea roma italy. Hivyo watu wa ilala pigo home boy katutangulia mbele ya safari Mungu amlaze pema peponi. Click to expand... Poleni wafiwa, mazishi ni wapi huenda nikawa karibu nikahudhuria na nikapata thawabu za kuzika
MziziMkavu said: msiba wa hatib clean heart. uliotokea roma italy. Hivyo watu wa ilala pigo home boy katutangulia mbele ya safari Mungu amlaze pema peponi. Click to expand... Poleni wafiwa, mazishi ni wapi huenda nikawa karibu nikahudhuria na nikapata thawabu za kuzika
usiniguse JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,725 Reaction score 1,194 Dec 14, 2013 #23 pumziko la milele umpe ee bwana na nwanga wa milele umwangazie ,Apumzike kwa amani,AMINA
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Dec 14, 2013 #24 Roho yake na roho za waaminifu wote kwa rehema za bwana YESU wastarehe katika amani.
C Carlpeters Member Joined Nov 3, 2013 Posts 5 Reaction score 1 Dec 14, 2013 #25 R.I.P Hatibu. poleni ndungu, jamaa na marafiki.
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 511 Dec 14, 2013 #26 pumzika kwa amani asee
U uraka Member Joined Jul 14, 2011 Posts 5 Reaction score 1 Dec 14, 2013 #27 Peter jaluo said: Aende panapostahili. Click to expand... RIP. Amin
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,766 Reaction score 76,947 Dec 14, 2013 #28 Pumzika kwa Amani.
mtz one JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 4,289 Reaction score 1,243 Dec 14, 2013 #29 apumzike anapostahili....poleni sana wafiwa mungu awape faraja katika wakati huu mgumu
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,787 Reaction score 23,546 Dec 14, 2013 #30 Ina lilah wainna ilayh rajiuun
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 88,843 Reaction score 156,274 Dec 14, 2013 #31 May all beings attain enlightenment.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 14, 2013 #32 pole zenu wafiwa..
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Dec 14, 2013 #33 Poleni sana
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Dec 14, 2013 #34 ...Pumziko la milele Uwape Ee Bwana na mwanga wa milele Uwangazie, Marehemu wote wapumzike kwa amani... Amina. Ee Bwana Yesu, mpumzishe anapostahili Abdulli Abuu...
...Pumziko la milele Uwape Ee Bwana na mwanga wa milele Uwangazie, Marehemu wote wapumzike kwa amani... Amina. Ee Bwana Yesu, mpumzishe anapostahili Abdulli Abuu...