TANZIA: Simaro Masiya Lutumba hatunae tena

TANZIA: Simaro Masiya Lutumba hatunae tena

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Simaro Massiya Lutumba Ndomanueno aliongoza Bendi ya TP Ok Jazz baada ya Franco Luambo Makiadi kufariki 1989 na baadae kuwa na bendi yake ya Bana OK 1991.

Amefariki Paris Ufaransa alipo kuwa anatibiwa kisukari.

Alikuwa mtunzi bora kabisa na mpiga Gita wa nyimbo nyingi zilizo ipa sifa kubwa bendi ya TP Ok Jazz.

Atakubwa kwa uwezo wake mkubwa wa kuandika mashairi mazuri na kutengeneza Ala zake hata kupewa jina la "Poet".

Bahadhi ya vitu vikali kabisa navyo vikubali ni kama Mabele aliimba Sam Mangwana, Testament ya Bowule aliimba Malage De lugendo, Maya aliimba Carylito Lassa, Faute ya Commercant- Sam Mangwana, Crise De cofiance, Ebale ya congo n.k

Punzika mzee wetu
SIMARO MASIYA LUTUMBA NDOMANUENO

It's since this morning that Le Poète Lutumba Simaro Masiya passed on. He died in Paris, France. He was 81 years old.

Simaro Lutumba was born on 19th March,1938 in Kinshasa. Guitarist, composer extraordinaire, performer, he was one of the leading artists of the Congolese music scene. He started playing the guitar in 1956 with Kalonji, a Congolese guitarist who was a fan of "zebola" a rhythm and a dance of the exorcism ceremonies

Subsequently, he joined Micra Jazz orchestra where he played rhythm guitar. His nascent popularity then reached the ears of Franco and OK Jazz. He joined OK Jazz in 1961. Simaro brought his personal touch, a guitar technique inspired by zebola, rumba, poetic songs, educational and full of spiritualities.

Okokoma mokristo released in 1969 and Ma Hele released in 1970, two moralizing songs about disappointed love, sterility and divorce. Simaro's talent was finally recognized by his peers.

In 1974 the song Mabele, a composition of Lutumba, interpreted by Sam Mangwana became one of the most popular songs in the history of "Rumba Conhgolaise". Through this song, Simaro was nickamed LE POÈTE.

After the death of Franco in 1989, Simaro decided to end his collaboration with TP OK Jazz and created Bana OK orchestra with Josky Kiambukuta, Ndombe Opetum and Madilu system who later left the band to pursue his solo career

Lutumba's poetic texts on the socio-economic-political realities of Africans made him a philosopher.

Rest In Peace

images%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu baada ya siku nyingi leo niliamua kusikiliza ngoma za Simaro kabla ya kwenda kulala. Nikasikiliza kibao chake cha mwisho "Simaro _ Bana Ok - Ravis (Filles)" akiwa na Bana OK na ndio nikapata message ya kufariki kwa nguli huyu wa muziki. Mola amuweke pema peponi. March 19, 1938-March 30, 2019. RIP Vieux Lutumba Simaro-Mbuyu wa Muziki wa Africa.
Poleni Mama Kelani na wote walioguswa na watakaoguswa na msiba huu. Pole sana kwa Josky Kiambukuta na wenzake wa "Bana OK"/"Bana Odemba" wote waliobaki.
 
kuna nyimbo katunga inaitwa nakoma na PDG [pedeshee]
inahusu mwanamke aliyeachwa na jamaa yake akaenda kuolewa na pedeshee [pedeshee humaanisha president acting general]
ni nzuri sana
 
Cha ajabu baada ya siku nyingi leo niliamua kusikiliza ngoma za Simaro kabla ya kwenda kulala. Nikasikiliza kibao chake cha mwisho "Simaro _ Bana Ok - Ravis (Filles)" akiwa na Bana OK na ndio nikapata message ya kufariki kwa nguli huyu wa muziki. Mola amuweke pema peponi. March 19, 1938-March 30, 2019. RIP Vieux Lutumba Simaro-Mbuyu wa Muziki wa Africa.
Poleni Mama Kelani na wote walioguswa na watakaoguswa na msiba huu. Pole sana kwa Josky Kiambukuta na wenzake wa "Bana OK"/"Bana Odemba" wote waliobaki.
Hakika enzi zile walitikisa na tp okk jazz
Naupenda wimbo wa simaro uitwao maya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom