TANZIA: Salum Tambalizeni kafariki

TANZIA: Salum Tambalizeni kafariki

Matola umezibuka.

Tambalizeni mtu wa lyrics long time namkumbuka.Tukiwa wadogo tunafuatilia mashairi na ngonjera RTD Tambalizeni hakosekani.

May all beings attain elightenment.
 
Last edited by a moderator:
Matola,

..Kikwete hakwenda kumzika Tambalizeni?

..ina maana Kanumba alikuwa mtu muhimu kwa JK na CCM kuliko Tambalizeni?
 
Last edited by a moderator:
There is only one Matola.... :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Mkuu inatosha kutoa pole na kumtakia mapumziko mema marehemu mbele za haki.
Mauti ina demokrasia ya ajabu , nawe utaionja.
RIP Tambalizeni.
RIP Tambalizeni
Nimeipenda hiyo Demokrasia ya Kifo.
Maana ni Haki bin Haki kila mtu lazima apate Kikombe chake.

Dr. Remy aliimba Kifo huna Huruma na Unaishi wapi maana ungeonekana walimwengu wangekupa Rushwa na Ungekuwa Tajiri.
 
Matola umezibuka.

Tambalizeni mtu wa lyrics long time namkumbuka.Tukiwa wadogo tunafuatilia mashairi na ngonjera RTD Tambalizeni hakosekani.

May all beings attain elightenment.

There is only one Matola.... :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

Kwa ukarimu wa Rais Kikwete kwenye misiba na kwakuwa wote hawa mimi nawachukulia ni Waswahili tu wa pwani yaani Wazaramo ( ingawa Jk ni mkwele).

Kukosekana JK kwenye mazishi nadhani amefanya jambo jema sana maana amejivuwa dhana ya unafki na amehakikisha kwamba if you want to distroy someone, distroy him completely to the grave.

Huyo ndiyo JK the Man of revenge, Steve Mashishanga naye atie maji........
 
Last edited by a moderator:
Watu humu wanapenda mtu asifiwe tu hata kama ni uwongo ikitokea yameanikwa mabaya yake inakuwa ugomvi
 
Kwa ukarimu wa Rais Kikwete kwenye misiba na kwakuwa wote hawa mimi nawachukulia ni Waswahili tu wa pwani yaani Wazaramo ( ingawa Jk ni mkwele).

Kukosekana JK kwenye mazishi nadhani amefanya jambo jema sana maana amejivuwa dhana ya unafki na amehakikisha kwamba if you want to distroy someone, distroy him completely to the grave.

Huyo ndiyo JK the Man of revenge, Steve Mashishanga naye atie maji........

Kwani lazima rais aende kila msiba?
 
Kwani ndugu yangu chama wanasiasa huwa wanakuwa marafiki basi. Hawa jamaa si marafiki wala si maadui, nami wala sisemi kwamba Mh. Kikwete anahusika, hapana. Ila katika siasa unatakiwa kuvuma uelekeapo upepo, ukikosea timing ndipo kifo cha uanasiasa kinapowadia. Hivyo marhum alikosea kujua upepo unaeleka wapi. Kuhusu mengine bila shaka ni ya Mungu wala si binaadamu.

Exactly... wengi wanashindwa kufahamu hili. Hebu wahabarishe vijana wajue kuwa siasa ni kama usafiri wa baharini inabidi uelekeze jahazi kwenye uelekeo wa upepo.
 
Kwa ukarimu wa Rais Kikwete kwenye misiba na kwakuwa wote hawa mimi nawachukulia ni Waswahili tu wa pwani yaani Wazaramo ( ingawa Jk ni mkwele).

Kukosekana JK kwenye mazishi nadhani amefanya jambo jema sana maana amejivuwa dhana ya unafki na amehakikisha kwamba if you want to distroy someone, distroy him completely to the grave.

Huyo ndiyo JK the Man of revenge, Steve Mashishanga naye atie maji........

Huyo mzee alikosea sana alitakiwa ajifunze kwa akina John Komba, walianza kumpigia chapuo Ali Hassan Mwinyi na hadi rais atakayefuata wapo tu.
 
Kwani Kanumba na Tambalizeni nani alikuwa popular zaidi wa wananchi achana na CCM.

Kwa akili zako matope lazima uone Kanumba ni Popular lakini siku hizi tumewapa watafiti hadidu za rejea wanapofanya research wajikite pia mtu anapokuwa popular watueleze ni popular kwa watu wasijuwa kusoma na kuandika na walioishia darasa la saba au ni Popular kwa watu wenye akili zao timamu?

Kanumba alikuwa popular kwahao mbumbumbu, wamama wa nyumbani na walioishia darasa la saba.
 
Apumzishwe anapostahili. Mungu awafariji waliobaki na kuwapa hekima ya kupembua mawe meupe kwenye mchele.
 
Nakumbuka kama kuna sherehe,akianza kuimba mashairi yake ya kuwasifu viongozi wa maCCM nilokua nazima redio ama tv! Alitumika vibaya pengine kwasababu ya elimu yake ndogo!
 
Alikua na umri gani, alikua anaumwa nini, mbona hajachangiwa kupelekwa india?. kwanini alikua inactive katika chama kwa muda mrefu au alikua kajiunga na CHADEMA?.
 
Alikua na umri gani, alikua anaumwa nini, mbona hajachangiwa kupelekwa india?. kwanini alikua inactive katika chama kwa muda mrefu au alikua kajiunga na CHADEMA?.

Alikuwa over 50, JK alihakikisha hata vile vitenda vya kuimba tenzi na mashairi kwenye mikutano ya CCM ni heri waletwe Bongo Fleva kuliko Mzaramo mwenzake Tamba. Inshort kuingia madarakani kwa JK ndio ulikuwa mwisho wa Tamba kusimama kwenye green stand.

Kama unamchukia mtu na unataka kumkomesha asikusahau mpaka kiama basi nenda kahudhurie tuition kwa JK.
 
Back
Top Bottom