TANZIA: Salum Tambalizeni kafariki

TANZIA: Salum Tambalizeni kafariki

Matola
Kifo ndio mwisho kila mwanaadamu; namuombea kwa Mola amlaze mahali pema; Tambalizeni katutoka kwa mapenzi yake Mungu; umeleta hadithi ndefu ambazo hazina kichwa wala miguu; mh. Jakaya anahusika vipi na kifo hiki? Kuna wakati muweke Mungu mbele hizi jazba na chuki zako za kisiasa zinakufanya uonekane mchawi mbele ya jamii!
 
Last edited by a moderator:
japo alitumika sana kuwarubuni wananchi kwa ngonjera zake zilizoipamba ccm , huku akijua kuwa ilikuwa uongo mtupu , nawapa pole ndugu zake , M/Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili .
Mkuu inatosha kutoa pole na kumtakia mapumziko mema marehemu mbele za haki.
Mauti ina demokrasia ya ajabu , nawe utaionja.
RIP Tambalizeni.
 
Tangulia MALENGA mchango wako katika lugha ya Kiswahili tutaukumbuka daima.
 
Matola
Kifo ndio mwisho kila mwanaadamu; namuombea kwa Mola amlaze mahali pema; Tambalizeni katutoka kwa mapenzi yake Mungu; umeleta hadithi ndefu ambazo hazina kichwa wala miguu; mh. Jakaya anahusika vipi na kifo hiki? Kuna wakati muweke Mungu mbele hizi jazba na chuki zako za kisiasa zinakufanya uonekane mchawi mbele ya jamii!
chama, huenda si vema kuelezea personal info za mtu kwa undani kama alivyoeleza Matola, lakini hivi ndivyo ukweli ulivyo. Ni mtu wangu wa karibu huyu tumeoa mwanawe aitwaye H. na hii ndiyo stori iliyorithiwa kwa wanawe. Hakuacha kitu Matola. Ukweli ndio huo hakuna chembe ya uzushi hapa. Ila kwakuwa ameshatngulia mbele ya haki, yafaa tuseme ndiyo ahadi yake imetimia.
 
Last edited by a moderator:
Ulitumika kama Condo.. na kisha kutupwa jalalani.
CCM ilishamchoka toka 2005 wakati Kikwete anaingia madarakani.

Jongo tayari, Tambalizeni naye tayari, amebaki Komba.
 
Saa saba mchana anaagwa kiwalani Minazi Mirefu tayari kwenda kuzikwa kwao Marumbo Kisarawe
 
chama, huenda si vema kuelezea personal info za mtu kwa undani kama alivyoeleza Matola, lakini hivi ndivyo ukweli ulivyo. Ni mtu wangu wa karibu huyu tumeoa mwanawe aitwaye H. na hii ndiyo stori iliyorithiwa kwa wanawe. Hakuacha kitu Matola. Ukweli ndio huo hakuna chembe ya uzushi hapa. Ila kwakuwa ameshatngulia mbele ya haki, yafaa tuseme ndiyo ahadi yake imetimia.
Mipangomingi
Itakuwa ni zushi wa hali juu bado hamjasema mh. Kikwete anahusika vipi; hapakuwa na ulazima wawe marafiki; sasa kama alikuwa na urafiki mh. Mkapa hilo lilikuwa ni chaguo lake Mkapa; labda kama mnataka kulazimisha Tambalizeni ilikuwa ni lazima awe na urafiki na kila raisi wa Tanzania
 
Kwani ndugu yangu chama wanasiasa huwa wanakuwa marafiki basi. Hawa jamaa si marafiki wala si maadui, nami wala sisemi kwamba Mh. Kikwete anahusika, hapana. Ila katika siasa unatakiwa kuvuma uelekeapo upepo, ukikosea timing ndipo kifo cha uanasiasa kinapowadia. Hivyo marhum alikosea kujua upepo unaeleka wapi. Kuhusu mengine bila shaka ni ya Mungu wala si binaadamu.
 
...Naam! Muulizeni Yule aliyekuwa Mkulu wa Morogoro aliyetamka wazi anamtaka nani kama Mkulu wa Nchi halafu huyo aliyemtaka Akashindwa....!!

Mkuu inatosha kutoa pole na kumtakia mapumziko mema marehemu mbele za haki.
Mauti ina demokrasia ya ajabu , nawe utaionja.
RIP Tambalizeni.

Huyu mkuu anasahau hata Slaa alipokuwa ccm kuna watu aliwashawishi na kawaacha huko huko na kadi kaing'ang'ania! Tuache kuchanganya siasa na misiba,hivi ndugu wa marehemu watamuelewaje mtu anayefurahia msiba wa mwingine?
 
sijawahi kufurahia na wala sifurahii msiba wa Tambalizeni , usinichonganishe na umma , tatizo la vijana wengi hamzijui na wala hamjawahi kusikia ngonjera za huyu mtu , alikuwa mtu wa propaganda za uongo mno , ni kweli amekufa kama mimi nitakavyokufa , kifo hakituzuii kuyaweka wazi udhaifu wa marehemu , ndiyo maana mpaka leo mapungufu ya nyerere yanajadiliwa ! Bali nimeipuuza hoja yako ya kuhusisha siasa zangu na Slaa .
 
Kwani ndugu yangu chama wanasiasa huwa wanakuwa marafiki basi. Hawa jamaa si marafiki wala si maadui, nami wala sisemi kwamba Mh. Kikwete anahusika, hapana. Ila katika siasa unatakiwa kuvuma uelekeapo upepo, ukikosea timing ndipo kifo cha uanasiasa kinapowadia. Hivyo marhum alikosea kujua upepo unaeleka wapi. Kuhusu mengine bila shaka ni ya Mungu wala si binaadamu.

Maneno swadakta tatizo ni watu kama Matola wanapoleta hadithi za vilinge vya kahawa hayo ndiyo yanayoudhi inakuwaje kila baya wamsingizie mh. Kikwete? Hivi kama tukitaka kuoredhesha mabaya ya slaa patakalika humu jamvini? Maanaa amefanya mabaya kiasi ya kwamba hukumu ya Mungu tayari inajulikana!
 
Last edited by a moderator:
...Naam! Muulizeni Yule aliyekuwa Mkulu wa Morogoro aliyetamka wazi anamtaka nani kama Mkulu wa Nchi halafu huyo aliyemtaka Akashindwa....!!

Unapoamua kuwa mwanasiasa lazima ukubaliane na kila jambo;hilo sio lakushangaza kwenye ulingo wa siasa; mtu unasema kile unachoaamini huwezi tu kuburuzwa kwa sababu fulani amekuwa raisi.
 
Mipangomingi
Itakuwa ni zushi wa hali juu bado hamjasema mh. Kikwete anahusika vipi; hapakuwa na ulazima wawe marafiki; sasa kama alikuwa na urafiki mh. Mkapa hilo lilikuwa ni chaguo lake Mkapa; labda kama mnataka kulazimisha Tambalizeni ilikuwa ni lazima awe na urafiki na kila raisi wa Tanzania
Safi sana matola... Ameanika uoza wa siasa na visasi vya ba'mwanahawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom