Tanzia: R.I.P Robert Peter Njambi

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,095
Kwa waliokaa Moshi na kusoma Kibo primary school na Umbwe secondary, leo tumempoteza rafiki yetu, ndugu yetu, jirani yetu ROBERT PETER NJAMBI.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEPA PEPONI.

AMEN!
 
Back
Top Bottom