Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Bwana Alitoa
Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe
Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe
...Mother ...his son!!! Kama kiingereza kinakupiga chenga, si ungeandika kiswahili tu.Kapicha kwa tusiomfahamu..
May The Holy Mary Mother of mercy Receive his Son.
Amen
Maradhi ya muda mrefuApumzike kwa amani.
Alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani?
Rest In Protons Mwamba Diop. Umewakilisha.Roman Catholic wana imani za ajabu sana.
Anyway this is life.
Kiburi cha uzima na afyaRest In Protons Mwamba Diop. Umewakilisha.
Imani za dini kubwa zote ni za ajabu.
Zimejikita kwenye kukubali uwepo wa Mungu asiyethibitishika.
So, unless huamini imani hizi zote, this will be a case of the pot calling the kettle black.
Hapana.Kiburi cha uzima na afya
Naam.Naona Kuna kamada kapya hapa kanataka kuibuka.....ngoja nisabuskraibu..
R.i.p Diop
Yani mkuu bado habari za Mungu wetu hazina mashiko kwako?Naam.
Safari moja huanzisha nyingine.