Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,068
- 1,332
Kumbe miaka yote hiyo yuko Uraiani na serikali ilikua haimtafuti? Kwa kuwa tu jambo hilo kafanya kafiri.
Hatimaye haki imetendeka mbinguni
Huyu ni kama baba ako
Hatimaye haki imetendeka mbinguni
Bado padri mmoja anayeoa NA kuacha NA kutelekeza watoto
Kumbe shehe upo humu?Hili gazeti lina waandishi wa hovyo sana..maneno yanajirudia rudia mantili hakuna..mxxxxx
Maustadh wanaotuharibia watoto Madrasa ndio waliojaa JelaHuyo ile kesi yake ya kuharibu mtoto ilikwishaje?
Mambo ya walawi 20:13 "Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Maustadh wanaotuharibia watoto Madrasa ndio waliojaa Jela
Huyo ile kesi yake ya kuharibu mtoto ilikwishaje?
Mambo ya walawi 20:13 "Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Unaonesha mzoefu wa jela.
Na mapadri wanaachiwa huru? Vipi wewe hawajakupitia kanisani huko? Hujasoma seminari?
Msome huyu kalawiti shule nzima ya seminari...
He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
How the scandal of Father Kit Cunningham has made Peter Stanford question his church and his faithamp.theguardian.com