Tanzia: Omari Changa hatunae

Tanzia: Omari Changa hatunae

heee pole na faraja kwa familia aliyoiacha
RIP
Ni amchezaji wa zamani wa yanga na jkt ruvu.Amefariki baada ya kuvamiwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya jangwani Jana usiku.
 
pole zao wote wanaomtegemea huyu mchezaji katika maisha yao..
 
nadhani aliwahi kuchezea Kagera sugar pia, jamaa alikuwa msumbufu sana kwa timu pinzani kwenye ndondo pale Kinesi cup na Lucky rangers cup, apumzike kwa amani.


Ni kweli, na kuna mechi moja uwanja wa taifa mpya...alifunga bao peke la kagera Sukari dhidi ya Simba...
RIP straika....
 
Ni kati ya mstraika wakali sana niliowahi kuwaona. Wakati ule akiwa kwenye fomu nilishangaa kwa nini hakuitwa timu ya taifa. Apumzike kwa amani!
 
Back
Top Bottom