Ni amchezaji wa zamani wa yanga na jkt ruvu.Amefariki baada ya kuvamiwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya jangwani Jana usiku.
Da imekuaje vibaka au majambazi?,alikuwa mshambuaji wa ukweli enzi zake,alale anapostahili,poleni familia.
Rest In Peace
yaani hawa vibaka mmh
Poleni familia ya wadau wa soka na washabiki wa Yanga na Ruvu... Hakuna japo picha zake?
![]()
Omar Changa wa tatu kutoka kushoto waliosimama akiwa na kikosi cha JKT Ruvu
Apumzike kwa amani!!!!!!
Halafu wewe ni kuwa hujui nakudai au ni ubaradhuli wako tu!!!!