Candy kisses
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 297
- 211
imesikitisha sana amekufa usiku wa harusi ya kaka yake harusi imegeuka msiba so sad
R.I.P shemeji yangu mpendwa
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2[
huu mstari unaniumizaga mno!dah jaman inahuzunisha sana.may she RIP.
Tunaomba mrekebishe jina ni Neema sio nemela
Kuna neema na nemela wote mabinti zakesio nemala ni neema.mangula
Ni Nemela na sio Neema, angalia taarifa ya familia.Tunaomba mrekebishe jina ni Neema sio nemela
AAGH poleni sana wana familia
Umeona eee utafikiri ni Msukuma au Mnyakyusa wa KyelaAiseee..... nimesikitika sana. Ni mdogo alafu ni mzuri sana.
Kila Nafsi itaonja UmautiMagamba na vizazi vyao hawana haki ya kuishi TANGANYIKA hii kwa mabaya waliyowatendea WATANGANYIKA ambayo kamwe hayatafutika mioyoni mwetu mpaka wote waangamie mpaka vizazi vyao...NASEMA WAFE TU maana tumewachoka, TENA WAFE VIFO VIBAYA SANA..