TANZIA: Mzee Beda Amuli mbunifu na mchoraji wa majengo, ikiwemo soko la Kariakoo DSM

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,168
Points
2,000

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,168 2,000
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,374
Points
2,000

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,374 2,000
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
R.I.P SEE HIS EXPERTISE
 
Attachments:

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,335
Points
2,000

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,335 2,000
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
Asante kwa taarifa, nilifaya kazi nae tukiwa ZEVET Architects; wliodesign majengo mengi ya hoteli za kitalii na ofisi za NDC, ubalozi wa Ufaransa etc. Nikahama nae tukaanza ofisi yake nikiwa Architectural Assistant wake. Alikuwa mtu mwema na mkarimu sana kwa kila aliyeishi na kufanya kazi nae. Ametuachia pengo lisilozibika. Mwenyezi Mungu ampokee na kupumnzisha mahali pema peponi. AAMEN!
 
Forum statistics

Threads 1,382,008
Members 526,250
Posts 33,817,047
Top