TANZIA: Mwl Chalamila mgombea urais CCM amefariki dunia jana

KANYAMA

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,495
2,305
Wapendwa wana JF wenzangu Jana tarehe 30-machi-2016 nilipokea taarifa kutoka kwa CEO wa shirikisho la vyama vya wachimba madini Tanzania FEMATA ndugu Haroun Kinega kwamba aliyekuwa katibu wa chama cha wachimba madini mkoa wa morogoro(Morema)na pia aliyechukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea urais kwa tiketi ya Ccm mwalimu Chalamila amefariki dunia na atazikwa leo tarehe 31-machi-2016 saa saba mchana morogoro.marehemu atakumbukwa kwa mpenzi baba wa taifa kwa kunyoa staili kama Zach Nyerere na hata kifimbo.
Wachimbaji wote na wapenda demokrasia kote nchini tunaombwa tuungane pamoja kumwombea marehemu asamehewe madhambi yake na apumzike kwa amani.Amen
pic+kada.jpg



Marehemu ni picha kulia
 
R.I.P mzee mtata na mwenye misimamo imara kama Che Guevara,ila nahisi zile mali ulizokuwa unazipigania zisiuze za MOFACO zinateketea
 
Back
Top Bottom