TANZIA: Mwanamuziki Keith Wilder afariki dunia

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512

Mwanamuziki Keith Wilder(65) amefariki dunia. Wider alikuwa akifanya vizuri na bendi yake ya Heatwave kipindi cha miaka ya 70.

Kupitia bendi yake hiyo wameshafanya hits song kama “Always and Forever,” “Boogie Nights” na “The Groove Line”, chanzo cha kifo chake kimetajwa kuwa ni matatizo ya kiafya.

Taarifa ya kifo cha mkongwe huyo wa burudani imetolewa na binamu yake Billy Jones, ambaye ameeleza kuwa siku ya Jumapili marehemu alikuwa amelala na ndipo kifo kilipomkuta.

Kupitia band yake wameshawahi kushiriki tuzo kubwa duniani za Grammys mara mbili ila hawakuwahi kushinda tuzo hizo.


Muungwana
 
Hizi ni itifaki tu kwa wenzetu.
Huenda binamu akawa ndiye msemaji wa familia...!

Na kwetu huku kuna baadhi ya KOO (Family) zinatumia mfumo huu..
Itifaki wp..kizee cha umri huo kusemewa na binamu it doesn't make sense to me..vingi vinakua havina marinda hivi..nenda wikipedia tujue sexual orientation Yake ilikuaje enzi za ujana..natumia techno..teh
 
Itifaki wp..kizee cha umri huo kusemewa na binamu it doesn't make sense to me..vingi vinakua havina marinda hivi..nenda wikipedia tujue sexual orientation Yake ilikuaje enzi za ujana..natumia techno..teh
Mkuu huu ni ushauri wangu kwako ukiona unafaa unaweza ukaupokea lah unaachana nao. Siku unapofikiri kuhusu yoyote yule awe aliye hai au marehemu jaribu kufikiri katika positive way. Kwa sababu it will cost you nothing. Ila inapotokea umefanya kinyume chake na kumbe hali haiko hivyo ulivyowaza tayari una kesi ya kujibu. Unless kama hauamini uwepo Mungu it's okay.
 
Back
Top Bottom