Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,104
- 34,061
Nimeanza kukuulizeni ninyi maswali na hamjajibu, achilia huo uongo unaotaka kusemaNacheka sana.Hili halihitaji kupepesa macho mzee.
Hujajibu swali nililo kuuliza.
Nimeanza kukuulizeni ninyi maswali na hamjajibu, achilia huo uongo unaotaka kusemaNacheka sana.Hili halihitaji kupepesa macho mzee.
Hujajibu swali nililo kuuliza.
Mkuu, utawezaje kumjua mtu akiyetokana na kizazi kibaya na cha ZINAA (mwanaharamu)??, ni kupitia maneno na matendo yake ndipo utamjua na mbaya zaidi anatapika UVUNDO katika tanzia na anamtusi Marehemu, bila shaka huyo ni mwana wa Ubilisi.Nitamsalimia shosti ako
Mbona unajua sana habari ya single moms wenzio?
Maarifa,
Mimi zamani nikiandika "tanzia," mwalimu bingwa wa Kiswahili Abdilatif Abdalla akanisahihisha akaniambia ni "taazia."
Jifunze uvumilivu, pengine ungesoma mpaka mwisho ungeweza kupata faida ambayo hukuitegemea katika uhai wako.. May be you could have learnt the importance of humility who knows!
Dina,Ama Kiswahili kina mengi nacho....Kwa hiyo Tanzia inabaki kuwa na maana ipi?
Mzee Mohamed Said samahani sana naomba nikuulize jambo nje kabisa ya mada ya leo. Kama utaridhia nataka kujua katika kumbukumbu zako unaweza kumjua mmiliki wa mwanzo wa nyumba namba 25 new street?Kichaa...
Kanumba kazikika lakini maiti yetu iliitikiwa si haba.
Hata Mtume S.A.W alikuwa anawekewa haja kubwa ya mtu mzima mlangoni kwake na LIJIKAFIRI fulani, hakuwa akijibizana nae bali alikuwa akiuondosha huo mfurushibwa haja kubwa na kupasafisha pale palipochafuka na kuendelea na mambo yakeHakika mzee Mohammed ni mtu ambae kweli unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakini naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa, unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira, Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.
Poleni sana hata muonekano wake anaonekana alikuwa na Hekima kazi ameifanya mwendo ameumaliza salama apumzike kwa AmaniTruthone,
Usijisikie vibaya. Hukuwa unamjua Mwalimu Bahia.
Capitano,Mzee Mohamed Said samahani sana naomba nikuulize jambo nje kabisa ya mada ya leo. Kama utaridhia nataka kujua katika kumbukumbu zako unaweza kumjua mmiliki wa mwanzo wa nyumba namba 25 new street?
Wa stendi..Huku mwisho mwisho inasemaje maana nimeishia katikati
Nadhani ni ile ilipozaliwa TANUCapitano,
Hiyo ni nyumba ipi?
Capitano,Nadhani ni ile ilipozaliwa TANU
Sawa imeelewa maana mie kupitia simulizi za wazee na wazee nilisikia tofauti kidogo. Kama una kumbu kumbu ulipomaliza kuandika kitabu kile harakati za waislamu katika kupigania uhuru au maisha ya Abdulwahid Sykes kuna mtu ulimpa kukisoma nadhani anaitwa Mshangama na siku fulani alijiwa na mgeni ambae ni daktari akakutambulisha kama ifuatavy. Dokta unamuona huyu mtu? Huyu ndie aliyeandika kile kitabu nilichokuazima. Sasa mie nilikuwa najjua nyumba ile mwanzoni ilimilikiwa na baba yake huyu dakatariCapitano,
Nyumba hii ilijengwa na wanachama wa African Association kwa kujitolea kati ya mwaka wa 1929 hadi 1933 ndipo ulipomalizika ujenzi.
Heci,
Umeghadhibika.
Ungeandika kwa utulivu ningekujibu.