Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Kwa wale wa mliosoma Mbeya tech kipindi hicho miaka ya tisini yule mwalimu wetu wa hesabu mwalimu B. Kilagani amefariki.
Mimi kama mwanafunzi wake nimeumia sana hasa kwa kutuachia mjane mama yetu mama Kilagani alikuwa nesi wetu pale chuoni.
Wanachuo wa mwaka wetu tulikuwa tukimpenda sana huyu mama kwa hekima zake.
Tuungane kwa pamoja hasa sisi tuliomalizaMbeya Tech miaka hiyo tuliofundishwa na huyu mzee kumpa faraja mjane.
AMINA!!