MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Kisheria anatambulika kama mkuu wa waislam wote Tanzania, uwe unamkubali au humkubali yeye ndie kiongozi mkuu wa waislam wote Tanzania.
Hakuna mwingine anaetambulika kisheria kama kiongozi wa waislam.
Majengo?au walihama?halafu nakumbuka alikuwa na wake wawilinipo kwake Shinyanga ni majonzi mtaa mzima. Mungu ampe pepo njema!
So sad!!! wanavunja mafundisho ya dini kwa ajili ya siasa?Wanauvuruga Uislamu.Mufti angezikwa leo leo kuonyesha kuwa uislamu haubagui katika mafundisho yake.Mkulu yuko nje lazima awepo kwenye mazishi wampige picha.
Pia wanasubiri watia nia (mamvi) wafike kuuza fizi msibani.
Muda mfupi uliopita nimepata taarifa kuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.
Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla. Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,Innalilah wainailah Rajiun.
Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.
The Grand Muft of Tanzania has passed away.
Hiyo si itikadi ya Kiislamu!!!!!
kuna tetes mufti simba kafariki yule wa bakwata,,mliopo eneo la tukio mtujuze
ungesema poleni waislamu wa BAKWATA ungeeleweka vizuri. sio waislamu wote wengine ni shura ya maimamu tanzania. hawamjui kabsaaa MAREHEM MUFT ALAZWE MAHALA ANAPOSTAHILI