TANZIA: Muasisi wa CHADEMA, Mzee Victor Kimesera afariki dunia

..waasisi wa cdm ninaowakumbuka:

Edwin Mtei.

Mohamed "Bob" Makani

Mary Kabigi

Medard Mutungi

Costa Shinyanga

Brown Ngwilulupi

Evarist Maembe

Victor Kimesera

Philemon Ndesamburo

George Wassira

Barongo
Mkuu Salute kwako kwa busara zako, kuna watu wengine nyakati nyingine sio wa kuwajibu ni wa kuwapuuza
 
Kwani CHADEMA ina Waasisi wangapi Mkuu? Tuanzie hapa Kwanza.
Ni kama ilivyo TANU hadi CCM,ilikuwa na Nyerere,Kawawa,Bibi Titi,Sykes family and the like,so huyu ni mmoja wa Waasisi wakiongozwa na kina Mtei na Bob Makani
 
R.I.P Mzee Victor Kimesera. Mchango wako kwenye siasa za Tanzania haswa za upinzani ni mkubwa sana.

Poleni wafiwa ndugu jamaa na marafiki.

Pole kwa mwenyekiti wa chama Mh Freeman Mbowe. Pole pia kwa uongozi wa wazee wa chama.
 
Back
Top Bottom