TANZIA: Mtangazaji wa Radio Free Africa, Tom Zuberi Msabaha amefariki dunia

Hivi Prince Baina Kamukulu nae ameshalamba udongo?

Kitambo kaka!! Acha kabisa!!! Tena ilikuwa kifo cha ghafra sana, Alikuwa Arusha siku mauti yalipomkuta.
Hivi unakumbuka mambo ya Prince Baina Kamukulu Na Chaz C Mhamiji katika Africa Bambataaa la Clouds FM!!!! Ilikuwa combination ya hatariii Zaidi kuwahi kutokea katika utangazaji wa burudani!!!!
Akaja kuinogesha Zubeir Musabaha Na Bolingo time ya RFA!!
Inasikitisha sana kuzikosa sauti hizi redioni!!!
 
RIP Tontoo Zubeir Msabaha!! Nilikuwa sikosi kumsikiliza Kila anapokuwa hewani na bolingo time!!! Na hata week ends!!! Hapo RFA.
Nini chanzo cha kifo chake? Mwenye taarifa atujuze!!! Inasikitisha sana.
Gone too soon!!!
Imeniuma kama alivyofariki pia Prince Baina Kamukulu!!! Mwamba Mkubwa!!!!
Rest in Peace my Brothers!!!
Prince baina alifariki? Daah RIP mkwe wa utotoni
 
Pole zimfikie "Jiwe la Thamani Pedejee My Choice",huko aliko maana ZM hakuna kipindi atakachofanya bila kumtaja huyu rafiki yake!
 
Back
Top Bottom