figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Katibu wa Bunge. Dr. Thomas Kashililah anasikitika Kutangaza kifo cha aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Mambo ya Sheria wa Bunge Ndg. Oscar Mtenda kilichotokea jana Jioni katika Hospital ya Mkoa wa Dodoma. Msiba upo nyumbani kwa marehemu maeneo ya Kiwanja cha Ndege Dodoma. Taarifa zaidi kuhusu mazishi zitatolewa baadae.