TANZIA : Mmiliki wa Masai pub na Meridian afariki dunia

pale club masai/meridian mwananyamala pana machangudoa tele kutokana na uwepo wa kumbi zake za burudani, moto umeumbwa kwa ajili ya kuwaunguza watu wasofata maamrisho ya mungu. go to hell mr...

emkey ?
MK??
Wajanja wa town tumeshajua
poyeeee na upinzani umezidi kushamiri
 
Last edited by a moderator:
Binadamu bwana mtu akifa wanasikitika,wakati tunajua tu wasafiri duniani,ndio maana tunatakiwa
tuwe tayari wakati wote tumejiandaa kwa kifo yaani tumpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha
yetu ili muda wowote tukifa twende Mbinguni'
 
attachment.php

Du hawa watoto wa ukoo wa lukumay wanafanana sana, yaani sijaweza tofautisha picha hjyo labda majina na yule mtoto wa Steven Lukumay ambaye majuzi nimemwona kwenye TV akielezea kodi wanazotozwa malori ya mizigo, naona ni mwenyekiti wa wamiliki wake. Sasa huyu tenawanafana basi WATUFAFANULIE NA MSIBA U WAPI?
R.I.P. LUKUMAY
IMG-20130720-WA001.jpg
Ilikua ni ajali mbaya sanaa....R.I.P Mwanangu/jembe
 
polefamilia mungu pekee ndio anajua pakumuweka ndugu yetu B
 
Duu!! Inasikitisha sana. Natoa pole nyingi sana kwa familia ya Lukumay. R.I P ndugu
 
Aliyekufa ni yupi sasa hapo kwenye picha?
RIP marehemu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pema na kimya

Liwa nzela ya bato nyoso.

Pesela ngai mbote na basantu nyonso kuna na paradiso epai ya Yahwe
 
Dah sijui nimefananisha au...lakini aliyekuwa anamiliki mwanzoni pale Masai club Galapo -Ilala nae alifariki kwa ajari ya gari saloon akiwa anaelekea Arusha!
Huyu alikuwa ni mdogo wa kina Gerald na Samuel

Ova
 
Habari nilizozipata muda mchache uliopita na kuthibitishwa na ndugu na jamaa wa karibu zinasema Benedict Chalres Lukumay amefariki kwa ajali ya gari eneo la Mikumi mkoani Morogoro usiku huu.

Chanzo cha kifo chake kimeelezwa kuwa ni ajili ya gari iliyotokea eneo la Mikumi mkoani Morogoro majira ya saa mbili usiku.

Meneja mkuu wa Meridian Hotel LTD Mzee Mponda amethibitisha juu ya kifo hicho, huku akinieleza kuwa ilitokana na ajali ya gari.

"Wakiwa na mwenzake aliyefahamika kwa jina la Adrian na gari binafsi wakielekea mkoani Iringa gari aliyokuwamo marehemu iligonga nyuma roli lililokuwa limesimama njiani." alisema Mzee Mponda.

Adrian ambaye ndiye aliyekuwa anaendesha gari alinusurika kwenye ajali hiyo.

Benedict alikuwa ni mmoja kati ya Wakugenzi watendaji wa kampuni ya Meridian Hotel LTD inayomiliki na kuendesha kumbi za burudani zikiwemo Masai Kinondoni, Masai Ilala na Masai Galapo Ilala.

Kifo chake kimeacha pengo kubwa si tu kwa familia bali hata wapenda burudani, akifahamika kimchango katika kusimamia na kuendeleza burudani na yakiwemo maonyesho mbalimbali ya wanamuziki wa bongo fleva na fani nyinginezo.


source: Kitongoni
Picha yake tafadhali
 
Back
Top Bottom