Tanzia: Mke wa John Nyerere afariki dunia

Innalillahi wainna ilayh rajiuun. Andrew kama kuna uwezekano andika kitabu kuelezea Maisha ya Familia ya Mwl Nyerere kabla na baada ya kifo chake lakini uelezee upande wa kijamii zaid maana kwny Siasa vimeshaandikwa vitabu vingi tu na hata Comrade Mugabe kaandika hivi karibuni.
 
Poleni kwa msiba ndugu...

Mwenyezi Mungu amlaze marehem mahala pema peponi...
 
Kila chenye mwisho hakikosi mwanzo, katikati isituchanganye tukamsahau mwenyezi MUNGU.
Roho ilale pema (RIP) mama DAVID
 
Alipata ajali au aliugua malaria?, maana malaria nayo inaua haraka sana, RIP mama devi
 
"Kabla ya mwaka mmoja kuisha baada ya John Nyerere kufariki, aliyekuwa mke wake amefariki."

Wewe jamaa style yako ya uanzishaji threads huwa inanishangaza sana. Nini umuhimu wa hayo maneno hapo juu as far as your thread is concerned?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom