Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,346
- 4,614
Sina imani na Omani, wala sifichi“Amefia nchini Oman wakati akienda kupata matibabu nchini India. Akiwa nchini humo amezidiwa ghafla na kupoteza fahamu, hadi umauti ulipomkuta.”
Sina imani na Omani, wala sifichi“Amefia nchini Oman wakati akienda kupata matibabu nchini India. Akiwa nchini humo amezidiwa ghafla na kupoteza fahamu, hadi umauti ulipomkuta.”
Itakua jibapa mkuu maana ina kawaida ya kufanya macho yapoteze full light yani andiko limekamilika kila kitu ila haoni daahMkuu umepiga mataputapu mchana huu au ni uvivu wa kusoma?
Askofu wa wapi?? Jimbo la wapi??