RIP mzee wa stereo chemistry...nasikitika hajakuwepo bado wa kukufikia. Na kukumbuka kwa mwandiko wako mzuri msafi uliopangiliwa. Nakukumbuka kwa u smartness wako kuanzia kuvaa gari yako na hata kuongea. Mungu akulaze mahali salama. Imeniumiza maana hakika nilikupenda kwa namna ya ualimu wako. Ulifanya Nami nikajifunza kuwa mwalimu mzuri wa chemistry. RIP
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.