Tanzia: Mh Ndesamburo afiwa na mdogo wake

mandaka

Member
Jan 13, 2011
62
8
Mheshimiwa Philemon Ndesamburo afiwa na mdogo wake. Rest in peace Wilson Sindatto.
 
Pole kamanda, BWANA alitoa na BWANA ametwaa jina la BWANA nalibarikiwe.
 
Jamani, khah!
Mengine hata hayatuhusu kilvile, anyway
Rest in Peace Wilson
 
Poleni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole kwa msiba,ila naomba kufahamishwa niliwahi kusikia kuwa mzee Ndesa ni mwana wa pekee kwa wazazi wake,hii imenichanganya kuona kuwa ana mdogo wake ambaye sasa ni marehemu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…