TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

Qixima mQiqa

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
178
Reaction score
20
Major General Mstaafu Bakari Shabani ameaga dunia, mwili wa marehemu upo hospital ya Lugalo. Msiba upo nyumban kwake Osterbei, heshima ya mwisho kwa marehemu itatolewa siku ya jpili tarehe9/03 itakayoongozwa na Mh.Rais Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Pole kwa wafiwa wote
 
SIO MH.JAKAYA K. Ni amiri jeshi mkuu JAKAYA K.
 
Major General Mstaafu Bakari Shabani ameaga dunia, mwili wa marehemu upo hospital ya Lugalo. Msiba upo nyumban kwake Osterbei, heshima ya mwisho kwa marehemu itatolewa siku ya jpili tarehe9/03 itakayoongozwa na Mh.Rais Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Pole kwa wafiwa wote
Mnakumbuka kashifa zake???
 
Jeshi watatangaza lini nafasi za kujiunga coz kuna wengi sana wamekufa na sasa nadhani hakuna kustaafu maana unakuta mwanajeshi kazeeka mpaka basi lakini bado yuko kazini.
 
Serikari haina pesa Hao waliopo bado ni wengi sana na Hakuna vita subiri labda wapelekwe Somaria hapo ndipo ajira itapenyezwa
 
Major General Mstaafu Bakari Shabani ameaga dunia, mwili wa marehemu upo hospital ya Lugalo. Msiba upo nyumban kwake Osterbei, heshima ya mwisho kwa marehemu itatolewa siku ya jpili tarehe9/03 itakayoongozwa na Mh.Rais Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Pole kwa wafiwa wote

R.I.P kamanda
 
R.I.P Major General, namkumbuka sana huyu mzee,leo nilikuwepo msibani ambapo shughuli zote had kuaga mwil wa marehemu zilisimamiwa nj JWTZ wakiongozwa na MP. AMBAPO AMIR JESHI MKUU RAIS JK ALIKUWEPO. MAZISHI YANATEGEMEA KUFANYIKA LEO JION HUKO ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom