TANZIA: Kiungo wa zamani mahiri wa Dar Young Africa, Godfrey Bonny afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanamichezo,

Mchezaji mstaafu wa Klabu ya Yanga, Godfrey Bonny amefariki dunia baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
FB_IMG_1487309635748.jpg

Pumzika kwa amani......
 
RIP kiungo.
Tuwekeeni picha
Tutajieni alichezea yanga kati ya miaka ipi.
 
DoOh! Pumzika unapostahili Kaka Geofrey Bony.

Nilikuwa navutiwa na uchezaji wako wa kiungo kipindi ulipokuwa Yanga na Taifa Starz.
 
Mungu amlaze pema jamaa,nilisoma sehemu kwamba alikuwa anahitaji msaada wa matibabu sijui aliupata huo msaada kutoka kwa club yake.?
 
Back
Top Bottom