TANZIA: Kiungo wa zamani mahiri wa Dar Young Africa, Godfrey Bonny afariki dunia

Kafir wa Mwendokasi wewe. Unaacha maana aliyokupa Muhammad aunaanza kuokoteza kwenye kamusi ili kupata uwezo wa kusongesha uwongo wako.
Hamtaachwa mnene uwongo hapa mtaumbuliwa Tu


Hiyo siyo kamusi ni site ya makafir wenzako, hujaipitia?

Ingia kwenye amani ukiwa hai usingoje kufa. Ukifa kinachokusaidia ni ulichokiishi. Ukiishi kafir unakufa kafir na unafufuliwa kafir. Kumbuka hilo.

Ukisikia puuu ujuwe limempata.
 
Mungu amlaze pema jamaa,nilisoma sehemu kwamba alikuwa anahitaji msaada wa matibabu sijui aliupata huo msaada kutoka kwa club yake.?
Ataupataje ndugu yangu mwenyekiti anahaika na yake sembe,sembe ishakuwa noma.
 
Back
Top Bottom