TANZIA: Juma Said Machevu wa chama cha madereva afariki dunia

sakapesa

Senior Member
Feb 19, 2014
100
52
Chama cha maderevawa malori na IT nchini kinasikitika kutangaza kifo cha ndugu Juma Said Machevu kilichotokea Bunju, Dar es Salaam tarehe 10/01/2017 na kusafirishwa kwenda Tanga Korogwe leo tarehe 11/01/2017,
by katibu wa chama(Mokiwa) 0713 642878
 
Polen Mungu awape subra wafiwa, na tunamuombea amhifadhi sehemu salama kwa rehma zake
 
Back
Top Bottom