Tanzia: Innocent Mashanda is no more

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
Aliyewahi kuwa Msajili wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Mount Meru, ndugu yetu na rafiki yetu Innonent Mashanda is no more!

Mwalimu Mashanda alikuwa anasumbuliwa na figo na ini wengi tutamkumbuka kama mtu aliyependa sana kufuata utaratibu kwa kila jambo kwa kifuti hakuwa mtu wa njia za mkato.

Rest in peace our beloved friend and brother.

 
Back
Top Bottom