Tanzia;dr.rensen richard massawe kuzikwa leo

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
435
500
Ndugu watanzania na wanajf yule kijana mdogo daktari bingwa wa upasuaji mhitimu wa KCMC na aliyekuwa doctar wa karatu lutheran Hospital atazikwa leo
 

lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
500
he was so young and such a hard working and patient-centred doctor,

he has gone too soon but tunamshukuru Mungu kwa yote.

Sasa mkuu msiba na maziko ni wapi? Wengine wetu tungependa kuhudhuria kama access na convinience inaruhusu.

RIP rene
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom