Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,599
- 217,991
Anaitwa Mh Ismail ambaye alikuwa diwani wa Chadema kata ya Makanya , ikumbukwe kwamba baada ya kushinda udiwani mwaka 2015 wazee wa Same walimuapisha yeye pamoja na madiwani wengine ili wasije wakasaliti wananchi , na kwamba wakisaliti kiapo hicho watapata MBURASI ( Wapare tusaidieni tafsiri ) , lakini yeye baadaye akasaliti na kuamua kuunga mkono juhudi
Kama kawaida akasimamishwa na ccm kugombea nafasi ile ile aliyoisaliti na kutangazwa mshindi kibabe , Wazee wa Same wakasema Hewala , wakaamua kumuachia Mungu , Taarifa zaidi zinadokeza kwamba Msimamizi wa uchaguzi wa marudio uliomtangaza Mh huyu kuwa mshindi alishafariki kitambo tu kwa ajali ya gari iliyoacha utata
Innalillah ya Innalillah Rajuun