Tanzia: Diwani afariki dunia Igunga

Tanzia: Diwani afariki dunia Igunga

Mtoto wagamba huyo ajiandae kuvaa gamba la baba kwakua ccm ndo wanacho fanya.baba mwiz na watoto wezi,baba diwani na watoto diwani.kujua zaidi nenda kalenga,chalinze,na pia mpigie lusinde wa mtera ana sera zote na mipango ya ccm atakwambia
 
magari huwa hayaheshimu sana pikipiki..nadhani CCM sasa watakuwa na akili kwani uzembe sasa unawa cost kisiasa moja kwa moja..huyu diwani km ni wa CCM game litanoga sana kwani hadi uchaguzi kuna kitu cha kukepe siasa zetu alive...
 
Mkuu kama si kuwa katika majonzi ningekushughulikia nimekuweka kiporo. R.I.P Mapalala

Hujipendi!?? utamshughulikia masopakyindi wewe!?? au unataka kibarua chako pale Lumumba kikome ghafla!??' jiangalie mdomo usiponze kichwa. Lala panapokustahili diwani gamba.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom