Tanzia: Diwani afariki dunia Igunga

Tanzia: Diwani afariki dunia Igunga

ha ha ha nimecheka sana hii ni sera mpya wa CCM. Vigogo wakae chonjo watoto wao watawamaliza ili wachukue nafasi zao.

ngazi kwa ngazi kila mtu anamuweka mtu wake,lakini hao wanaowekwa wanajipigia kura? si tunapiga sisi? tukiwapigia walala hoi wenzetu je nao wakipanda daraja watatukumbuka? tunayaona kwenye posho bunge la katiba,huku chini tulikuwa wote ghafla wamejiunga na wabunge wa zamani kudai posho kubwa,i think its human nature to look at oneself,me,myself and I
 
ccm wanavyofanya wanachochea watoto wa viongozi wachekelee au wawawahishe kuzimu haraka wazazi wao hivihivi,
R I P diwani
 
vya kurithi si udiwani bali ni ubunge na urais ndivyo veo vya kurithi kiuraisi
 
sasa watoto wa hawa madiwani wa maccm wawahi kuchukua fomu, kama hana mtoto wakutosha umri basi mwiguru mchemba amlente mtoto wa kaka yake au wa dada yake agombee kata hiyo.
 
Pole yake maana hatayaona mageuzi ya kimfumo, kiserikali na kuparanganyikaa kwa chama cha wanyonyadamu ccm
 
Pole yake maana hatayaona mageuzi ya kimfumo, kiserikali na kuparanganyikaa kwa chama cha wanyonyadamu ccm
Hiki kinachouwa watu kwa sumu, tindikali na kuwateka na kuwapiga vibaya kisha kuwatelekeza msituni? Kama kilivyomfanyia mwenyekiti wao wa wilaya ya temeke?
 
Back
Top Bottom