Tanzia: Dada 'ake Afande Sele afariki dunia

Tanzia: Dada 'ake Afande Sele afariki dunia

Mbona hata sababu ya huu unyama sijaona! Watu wanaua albino na kuchukua viungo sasa hapo vipi? Inabidi huyo mlinzi azawadiwe kwa ujasiri kwani wangekuwa tkme taker wangefungua geti tu
 
Kapata kichwa eeeeh..someni hamtaki mnaishia kufungua vizibo vya serengeti za vuguvugu.

CHO.KO kweli wewe

mtu kafariki we unaleta dhihaka??

si bora hao wasio soma kuliko NYINYI NGUCHIRO MMESOMA KISHA MKIULIZWA 10MILLION MMEICHUKUA KWA WIZI YA KAZI GANI KISHA MNAJIBUA ATI KWAMBA MLIENDA KUNUNUA MBOGA??

SASA MNA MSAADA GANI NGURUWE NYINYI.

SI BORA KUTANDIKA RISASI TUH

CHINA NGURUWE KAMA NYINYI MNATANDIKWA RISASI TUH ILI MSHIKE ADABU ZENU.
 
Na mm nashndwa kuelewa apa naona Seleman Msindi na huyo mwingne Zaria Kambi! udada unakujaje au kisa wote wa moro.

labda mila MTU ana bab yake.

ila mama mmoja.

au pengine wanaitan binamu.

kuitwa Dada co lazma kuzaliwa na Baba mmoja.

tanbihi:
sithibitishi kuwa huyi Zaria kambi ni dada wa afande sele.
 
hii style ya watu kusema Mungu ampumzishe marehemu panapostahili....akifanya kweli hivyo wote tutakutana motoni!
 
Back
Top Bottom