Tanzia: Dada 'ake Afande Sele afariki dunia

Kapata kichwa eeeeh..someni hamtaki mnaishia kufungua vizibo vya serengeti za vuguvugu.


Duh,,,,hoongera yako kaka,,,,,MAISHA YA KILA MWANADAMU HP DUNIANI ANAPANGA MUNGU,,,,YEYE NDO UMKUNJULIA RIDHIKI AMTAKAYE,NA UMFARIKISHA AMTAKAYE AKAWA FAKIRI,,,,,
 
lol inasikitisha sana....
Wengi wamesoma na vizibo wanafungua,acha kudharau kazi


huyu jamaa ---- sana,,,,yeye anashindwa kujua maisha ya hapa duniani anapanga mungu kwa asilimia fulani,,,,wangapi wamesoma lkn hawana mbele wala nyuma,ht pakulala hawana
 
aisee jamani inasikitisha sana

kwanini mtu anaamua kuumua mwenzio kisa ni nini jamani
huu kweli ni mwisho wa dunia inabidi tumwombe Mungu sana
na inabidi tuliombee taifa na wananchi wake
 
aisee jamani inasikitisha sana

kwanini mtu anaamua kuumua mwenzio kisa ni nini jamani
huu kweli ni mwisho wa dunia inabidi tumwombe Mungu sana
na inabidi tuliombee taifa na wananchi wake
​sio tuombe hata wezi wanaomba hapa ni kutubu na kuhokoka,
 

Alikua na k ya aina gani mpaka jamaa akaweza kuinyofoa?
 

Hizi papuchi zinatofautiana ama? huyo jamaa anazinyofoaje
 
natamani nijue y huyu jamaa alikosana nini na dada .
Au alitaka kavukavu
Au alitaka tigo

Mmmmmmh

Akili zako wewe ndo zimeganda kabisa,,,,,! Watu wanatafakari kuhusu kifo wewe unaongelea habari za tigo,,,,
 

Dah,albino bado kizungumkuti huyu katoka kivyake?
 
tuliongozana njiani aliniambia
amepata kichwa hivyo
anakwenda nyumbani kuaga na
baadaye arejee kwa bwa’nake
huyo ambaye ni mara ya kwanza
anaonana naye,”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…