Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Duu huyu mlinzi alikuwa na nafasi ya kuokoa maisha ya huyu dada. Sema ndo hivyo tena.
Muuaji amefanya mauaji kisha akakubali kurudi chumbani kukaguliwa?
Si bure, huyo muuaji ni kichaa labda.
Mama mzazi wa marehemu, Mwajuma Hassani Kambi ambaye ni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mwande Kata ya Kichangani kwa tiketi ya Chadema alipokea taarifa za kifo cha mwanaye Jumapili usiku...
Kapata kichwa eeeeh..someni hamtaki mnaishia kufungua vizibo vya serengeti za vuguvugu.
Kapata kichwa eeeeh..someni hamtaki mnaishia kufungua vizibo vya serengeti za vuguvugu.