Pole sanaHabari wana jamvi!
Poleni ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba wa Brig Gen (rtd) Galinoma!
Msiba upo Masaki, Dar.
Nawasilisha!
Yeah2016
Huyu alishawahi kuwa mbunge????Yeah
NdioHuyu alishawahi kuwa mbunge????
Mimi najua aliyewahi kuwa mbunge ni Marehemu Stephen Galinoma. Sidhani kama alikuwa mwanajeshi.Huyu alishawahi kuwa mbunge????