TANZIA: Bibi Nuru Khalfan Kikwete afariki dunia, ni Mama Mlezi wa rais mstaafu Kikwete

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Bibi Nuru Khalfan Kikwete, Bibi wa Ridhiwani Kikwete, amefariki leo asubuhi hii MNH. Taratibu za mazishi mtafaahamishwa.

Chanzo: Ridhiwani Kikwete.

Inna lillah wa innah illah rajiun.

======




17103237_1295831197144943_2001150016581402694_n.jpg


Mama Mlezi wa aliyekuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Bi Nuru Kikwete amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa,

Ridhiwani Kikwete athibitisha


Joyce ambaye anafanya kipindi cha wanawake live ilipofanya mahojiano na mama wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Bibi Nuru
 
Pole wafiwa mno..Basi Mungu amrehemu kulingana na FUNGU alilolichagu Marehem awali.
 
Back
Top Bottom