TANZIA: Bibi Nuru Khalfan Kikwete afariki dunia, ni Mama Mlezi wa rais mstaafu Kikwete

RIp kikwetes. Ila yule bwana asipewe nafasi ya kutoa neno asijefanya kama ilivokua kwa mazishi ya boss wa Dar
 
Bibi Nuru Khalfan Kikwete, Bibi wa Ridhiwani Kikwete, amefariki leo asubuhi hii MNH. Taratibu za mazishi mtafaahamishwa.

Chanzo: Ridhiwani Kikwete.

Inna lillah wa innah illah rajiun.

======

View attachment 477684

Mama wa aliyekuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Bi Nuru Kikwete amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa,

Ridhiwani Kikwete athibitisha

Joyce ambaye anafanya kipindi cha wanawake live ilipofanya mahojiano na mama wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Bibi Nuru

Mungu amsamehe makosa yake Na amlipe kwa mema yake Na amfanyie wepesi katika safari yake.
Lakini nadhani Marehemu alikuwa mama wa kufikia wa mh jmk. Kama itakuwa sikosei
 
Bibi Nuru Khalfan Kikwete, Bibi wa Ridhiwani Kikwete, amefariki leo asubuhi hii MNH. Taratibu za mazishi mtafaahamishwa.

Chanzo: Ridhiwani Kikwete.

Inna lillah wa innah illah rajiun.

======

View attachment 477684

Mama wa aliyekuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Bi Nuru Kikwete amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa,

Ridhiwani Kikwete athibitisha

Joyce ambaye anafanya kipindi cha wanawake live ilipofanya mahojiano na mama wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Bibi Nuru

So sad

R.I.P Bibi Bi Nuru

Hatakaa atokee mwingine kama Wewe. Pumzika kwa amani
 
Bibi Nuru Khalfan Kikwete, Bibi wa Ridhiwani Kikwete, amefariki leo asubuhi hii MNH. Taratibu za mazishi mtafaahamishwa.

Chanzo: Ridhiwani Kikwete.

Inna lillah wa innah illah rajiun.

======

View attachment 477684

Mama wa aliyekuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Bi Nuru Kikwete amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa,

Ridhiwani Kikwete athibitisha

Joyce ambaye anafanya kipindi cha wanawake live ilipofanya mahojiano na mama wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Bibi Nuru

Poleni na JIPENI moyo katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
 
Back
Top Bottom