Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Mwanamichezo mkongwe na Mkuu wa Itifaki Mstaafu, Balozi cisco mtiro amefariki dunia leo Aga Khan Hosp, DSM alikuwa akipata matibabu.
Marehemu cisco mtiro alikuwa balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia,Singapore na Laos.
Marehemu Sisco Mtiro enzi za uhai wake
Mada mbalimbali kumhusu Marehemu cisco mtiro
=> Rais Kikwete amteua bwana Sisco kuwa Balozi
=> Balozi Sisco akabidhi hati zake
=> Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia kujitetea Baraza la Maadili
Rais mstaafu Kikwete akiwa na Mkuu wa Itifaki Ikulu Sisco Mtiro
Marehemu Sisco(Kushoto) enzi za uhai wake