Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

Wanateka migodi ya wachimbaji wadogo kila siku; wanawapiga sana wachimbaji wadogo; wanawafungulia kesi; wanachukua na kuharibu miundombinu yao bila huruma. Serikali i.e wizara kimya.
 
Huyu mtoto anaeitwa Pikinini achaneni nae kabisa....nimejaribu kumsaka mpaka nikamfuatana nikajua mipango yake ambayo kwa wote mliowataja sijaona anaemfuata kwa nyuma japo kumkaribia....kama mnabisha mfuateni kupitia instagram kwa akaunti hii Pikinini4rever mlete maoni yenu
 
Last edited by a moderator:
Kwa umri wangu namkubali huyu dogo na nina kabinti kangu nataka nikakuze kwa roho safi nimpe akaoe kabisa maana kwa aliyofanya tena bila elimu nampa 'heko'....kwel kaiinua mererani yao kimasomaso, wako wapi kina Omary Hatibu, kina Shilingi, kina Ray Kishumbua, kina Mathias Mnama, kina Komandoo, kina Askofu, kina Ustaadh East Coast, kina Hamad Mjaluo, kina Yusuph Sakina, kina Lemali? Kijana pamoja na mambo yote kajiweka level zao na kafanikisha alichopanga. Mimi binafsi natamani angeumvwa kuwa mdogo wangu wa damu ningepita kila mtaaa kumsapoti kwa kupiga makelele mpaka nipigwe kudadadeki.
 
Umenikumbusha mbali aisee Ray kwisha kazi! Hivi Lemali bado ni meli?
 
Majungu meeeengi,,,mbona hamjaenda kununua nyie hizo Hisa? Akipewa mzungu anatufilisi akipewa mzawa maneno. Tatizo hatuna jema hata 1. Hapo mtu kanunua hisa pamoja na madeni yake unataka ajiendeshaje?
 
Kwa umri wangu namkubali huyu dogo na nina kabinti kangu nataka nikakuze kwa roho safi nimpe akaoe kabisa maana kwa aliyofanya tena bila elimu nampa 'heko'....kwel kaiinua mererani yao kimasomaso, wako wapi kina Omary Hatibu, kina Shilingi, kina Ray Kishumbua, kina Mathias Mnama, kina Komandoo, kina Askofu, kina Ustaadh East Coast, kina Hamad Mjaluo, kina Yusuph Sakina, kina Lemali? Kijana pamoja na mambo yote kajiweka level zao na kafanikisha alichopanga. Mimi binafsi natamani angeumvwa kuwa mdogo wangu wa damu ningepita kila mtaaa kumsapoti kwa kupiga makelele mpaka nipigwe kudadadeki.

Duuuh upambe ni mbaya sana bandugu hao uliowataja kuna wa2 sio wa kumfananisha nae hata kidogo lemali,matias mnama,hamad mjaluo sio level yake hata kidogo......
 
Mgodi wa prince riz moko ambae ufalme umefikia mwisho baada ya baba yake mdogo memba kupigwa chini Dodoma. Anapiga nguzo za mwisho mwisho waondoke kabla ufalme mpya usiotaka masihara kuingia madarakani. Hussein gonga mwenyewe mwizi tu, kajaza wakata suruali na mkasi hapo mbele, ni kirangi tu kinaongelewa. Mzungu ni mzungu tu. Mtamkumbuka mzungu wakati mlikuwa mnataka wazawa ndo wapewe
 
Duuuh upambe ni mbaya sana bandugu hao uliowataja kuna wa2 sio wa kumfananisha nae hata kidogo lemali,matias mnama,hamad mjaluo sio level yake hata kidogo......
Kweli hii sasa dharau kumfananisha mtu kama Lemali na Picin...nahisi huyu mtoa mada americana atakuwa ndo picini mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Kweli hii sasa dharau kumfananisha mtu kama Lemali na Picin...nahisi huyu mtoa mada americana atakuwa ndo picini mwenyewe

Nlishamshtukia mda mrefu mtu huna nyumba mjini halafu unasema ni tajiri kuliko lemali au matias mnama.....huyo lemali ngulelo sio uzito wake hana robo.matias mnama ana asset mjini na juzi amenunua kiwanja njiro total kwa pembeni 400m.....pia anaendesha mgodi unamfananisha n pikinini kweli
 
Last edited by a moderator:
Heshima sana wanajamvi,

Kile nilichosema 26/03/2015 leo kimeandikwa katika gazeti la leo "Raia Mwema".Kweli JF ni kiboko tunapata habari zingali mbichi kabisa.Unaweza kujipatia nakala yako ya Raia Mwema kwa ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom