Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

Mkuu yule alikatwa mguu n skip alikua miner....so alivyotibiwa n hali yke akapelekwa gemhouse alikua anatoka n mzigo wa haja ila starehe sana n dharau....hivi unawezaje kua n hela usiwe n majumba arusha mjini
Kweli kabisa ilpaswa awe na viota vya maana Sakina, Njiro ndo ingekuwa asset ya maana sababu bei ya kupangisha nyumba Njiro ama Sakina ni tofauti kabisa na Usa ama Maji ya chai.
 
Mkuu usemayo ni kweli yeye anahiyo club plus supermarket istoshe kufungua club kauza zaidi y plot 3 huko usa....mana cash haikuepo
 
TanzaniteOne Ming ltd, ambayo ilikuwa inamilikiwa na Richland Resources Ltd. Richland inamiliki migodi mingine huko Australia (Capricon Sapphire Project in central Queensland), richland waliamua kuuza hisa zote za tanzaniteone ambazo walikuwa wanazimiliki huko kwny soko la hisa la London (LSE), AIM market in London. Hapo naposema hisa zote, nina maana ya hisa zao zote 50%, maana tayari kulikuwa na 50% za serikal kupitia STAMICO. Sababu za awali walizotoa richland kupitia CEO (Chief Executive Officer) bwana Bernard Olivier, za kuuza kampuni ya tanzaniteone ilikuwa inajiendesha kwa hasara, pia kuna illegal mining activity, and for political reason. Kampuni ya tanzaniteone ikawa imenunuliwa na Sky Associates Group, kampuni ya sky group inamilikiwa na Ridhiwan (huyu ni muhindi ambaye yupo marekani) pia ndiyo mwenye hisa kubwa, wengine wawili ni wazawa (Faisal & Hussen a.k.a hussen gonga).
Kwa ufupi hicho ndicho nachokijua.
 
kwa kweli hawa watu hawakustahili kupewa hii kampuni coz tabia za matajiri wa mirerani zinafaamika kwa wazawa kama sisi hawa watu wamezoea kutumikisha watu bure sasa wataweza kulipa mishahara na chakula kizuri? jibu ni hapana sanasana tutegemee mirerani kupauka zaidi coz ile kampuni ilikua inaleta mzunguko wa ela coz matajiri wote walikua upande wa wafanyakazi lakini kwa sasa najua ni ngumu rafiki zangu wa gemhause wanalia njaa mpaka nawaonea huruma ni bora tu makaburu wangeendelea
 
Mkuu mgodi nakubaliana hoja zako labda niweke angalizo kiduchu Tanzanite One Mining Ltd haikuwa ikijiendesha kwa hasara hata kidogo isipokuwa kilichokuwa kikifanyika ni hila za Mtendaji Mkuu kuonyesha hiyo hasara ili baadae ainunue Tanzanite yeye kilichofanyika baada ya wenye mali kugundua ni kuiuza kwa watu wengine kama mkakati wa kumkomoa CEO.

Fedha ilikuwa inapatikana kwa wingi sana tena baadhi ya wazungu walikuwa kwenye operation miaka ya nyuma leo ni matajiri wa kutupwa wengine wamefungua migodi ya dhhabu kwa fedha za Tanzanite.

Nakubaliana na wewe hali ya kisiasa ni sababu kubwa na wizi tanzanite na mwingiliano wa njia zenye madini.

TanzaniteOne Ming ltd, ambayo ilikuwa inamilikiwa na Richland Resources Ltd. Richland inamiliki migodi mingine huko Australia (Capricon Sapphire Project in central Queensland), richland waliamua kuuza hisa zote za tanzaniteone ambazo walikuwa wanazimiliki huko kwny soko la hisa la London (LSE), AIM market in London. Hapo naposema hisa zote, nina maana ya hisa zao zote 50%, maana tayari kulikuwa na 50% za serikal kupitia STAMICO. Sababu za awali walizotoa richland kupitia CEO (Chief Executive Officer) bwana Bernard Olivier, za kuuza kampuni ya tanzaniteone ilikuwa inajiendesha kwa hasara, pia kuna illegal mining activity, and for political reason. Kampuni ya tanzaniteone ikawa imenunuliwa na Sky Associates Group, kampuni ya sky group inamilikiwa na Ridhiwan (huyu ni muhindi ambaye yupo marekani) pia ndiyo mwenye hisa kubwa, wengine wawili ni wazawa (Faisal & Hussen a.k.a hussen gonga).
Kwa ufupi hicho ndicho nachokijua.
 
Last edited by a moderator:
GM wao kabla haijauzwa kwa sasa ni GM wa shanta gold mine kule chunya.New Luika gold mine.Nakumbuka kulikuwa kuna manager msaidizi wa process mzee Mtawali, cjui kama yupo mpaka leo.Dah ila mzee D alikuwa balaa
 
Mimi nahisi ni maneno tu kwa huyo kijana, kwa kweli kafanya kitu kizuri na anastahili pongezi za pekee, kwan ni vijana na watu wakubwa wangapi hawajafikia alipo yeye mda huu. Kajiweka level za kina Papaa wa Triple A kwa alichokifanya. Wangapi wamefanya kitu kama yeye kwa waliotoka na waliopo Tanzanite One mpaka muda huu? Tumpongeze kijana kaweza. Hata mtu kama Chusa ana mradi kama wake? paoja na kutoa mawe miaka yote

Nakuunga mkono mkuu, mtu kuuza baazi ya viwanja vyake au kuenda bank ukapewa mkopo mkopo, na kufanikiwa kujenga kitega uchumi kama lile jengo. Ni jambo la kumponge kijana mwenzetu, kwa umri ule amejitahidi sana.
 
Mkuu mgodi nakubaliana hoja zako labda niweke angalizo kiduchu Tanzanite One Mining Ltd haikuwa ikijiendesha kwa hasara hata kidogo isipokuwa kilichokuwa kikifanyika ni hila za Mtendaji Mkuu kuonyesha hiyo hasara ili baadae ainunue Tanzanite yeye kilichofanyika baada ya wenye mali kugundua ni kuiuza kwa watu wengine kama mkakati wa kumkomoa CEO.

Fedha ilikuwa inapatikana kwa wingi sana tena baadhi ya wazungu walikuwa kwenye operation miaka ya nyuma leo ni matajiri wa kutupwa wengine wamefungua migodi ya dhhabu kwa fedha za Tanzanite.

Nakubaliana na wewe hali ya kisiasa ni sababu kubwa na wizi tanzanite na mwingiliano wa njia zenye madini.

Ni kweli mkuu, mambo ya wizi kwa mabosi au wafanyakazi hayo yalikuwepo, ila hizo sababu hakuzisema CEO. Inawezekana kile kilichokuwa kinazalishwa, kilikuwa kinapotelea njian kabla ya kwenda Australia.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kijana mmoja nae nasikia kajitahidi sana, kajenga club yenye restaurant maeneo ya usa river. Hongera zao bana, wajitahidi kupambana maana starehe na maisha havitakiwi kabisa

Iko hapo leganga, nimeshaingia, iko poa sanaa, kiukweli kajitahidi sanaaa
 
Nilikuwa natokea KIA kwenda Arusha jamaa wakanionyesha nilitamani sana kuingia ila muda ukawa tight sana

Pako poa sana, sikumuona mhusika lakini niliambiwa ni kajamaa tu ambacho kamejipanga vizuri, ni kama alivyojipanga Mathayo, Ngongo unammanya Mathayo? jamaa yupo vizuri sanaa hapo moshono kapachafua balaa, hawa ndio vijana wa mawe wenye kutumia akili zao vizuri sasa.
 
Mkuu yule alikatwa mguu n skip alikua miner....so alivyotibiwa n hali yke akapelekwa gemhouse alikua anatoka n mzigo wa haja ila starehe sana n dharau....hivi unawezaje kua n hela usiwe n majumba arusha mjini
Kaka mbona kama ni maneno tu, watu wanamsifia sana kwa kujichanganya na watu aina mbali mbali hata masikini kama sisi. Tatizo Arusha mtu akiwa na mafanikio watu automatically wanamuogopa na kuanza kulaumu kuwa ana dharau. Muacheni kijana wa watu alafu kumbe tena ni mlemavu wa mguu. Acheni chuki nendeni mkamsapoti bana.
 
Mkuu hakuna wivu hapa kama maendeleo yapo tunasema.....huyu jamaa kala hela sana hata mjini hana nyumba.nenda makumira chuo muulizie utapata habari yke niishie hapo
 
Pako poa sana, sikumuona mhusika lakini niliambiwa ni kajamaa tu ambacho kamejipanga vizuri, ni kama alivyojipanga Mathayo, Ngongo unammanya Mathayo? jamaa yupo vizuri sanaa hapo moshono kapachafua balaa, hawa ndio vijana wa mawe wenye kutumia akili zao vizuri sasa.

Matayo yuko njema ana apartment za kutosha na viwanja moshono......pia alipata hela yke hakuchezea kma mwenzie pikinini kala hela sana angetakiwa awe mbali kuliko hapo
 
walangi hawanaga akili hata kidogo.wao wanaona kujifunga ushungi wanaona wamewini game
 
Kuna Jamaa aliajiriwa pale kama Finance Director anaitwa Godfrey Temba. Ni kijana ila alijishau akapata ulevi wa madaraka akagombana na vijana wote kwa adha ya wivu na madaraka. Vijana tuache visa kwa kazi za watu, hii ni dunia inapita tu.
Nani anajua yuko wapi huyu mtu??
 
Back
Top Bottom