Thanks in advance. Nitasoma nimetulia, then I'll come back to you.I got this paper from a colleague and went thru it, thought might be of great use for all JF members and visitors and probably we might have a strong dialogue from this research paper...
Not scaring as such... naona doc inaanza na pg 124... anyway, it is the truth which we know but decline to acknowledgeScaring huh?
They can if Mrema will be the chairman of that discussionYea the pepa tells the most, lakini kama tutakumbuka Mtikila in pre-95 elections ali highlight most of these issues. Akisisitiza ni ndoto kwa Mrema kushinda in such environment. Well can't the opposition sit down and tryh at least to resolve one of these issues?
Not scaring as such... naona doc inaanza na pg 124... anyway, it is the truth which we know but decline to acknowledge
karibu wataongezewa kikwazo kingine-sheria mpya ya election financingHizo hurdles vyama vya siasa hawawaambia wananchi mfano kuhusu
1. upungufu wa kisheria
2. upungufu wa fedha za campaign na muundo wake
3. kunyanyaswa kwa viongozi wa upinzani kwa kodi, etc
wananchi wa kawaida ni ngumu sana kuelewa bila vyama kuungana ku-address hii issue.
Not scaring as such... naona doc inaanza na pg 124... anyway, it is the truth which we know but decline to acknowledge
you are rightMkuu MN,
Kurasa za publications (papers) zilizochapishwa kwenye journal zinakuwa namna hiyo. Toleo moja la journal linaweza kuwa na papers kama 10 au zaidi na kila moja inajitegemea lakini kutakuwepo na paper itakayonzia page 1 na nyingine zitaendelea. Jounal inaweza kuwa na issues kadhaa kwa mwaka ambazo zinakuwa na page zinazoendelea. Kwa mfano issue No.2 inaweza kuanzia page 230 wakati issue No.3 itaanzia pager 600 n.k. Kwa hii Journal inaonesha kila issue ina page zake (yaani inaanzia page 1). Ingawa sijaisoma kwa undani lakini hii paper ilitolewa kwenye Jounal of Democracy volume 20, issue No. 4 page 122-139 (2009).
Its sad to see some research data shows that CCM is doing whatever it takes to make sure it stays in power.While they are doing so, Tanganyikans seemed to be frozen by cold water just like in Nyerere's times.People dying for hunger, and Tanganyikans praising Nyerere for his leadership.When CUF goes in power in Zanzibar, we will remove that college of Nyerere at Maisara!He didnt deserve that from us.
I am really proud to be a Zanzibari, atleast they show some drops of resistance...yes, the resistance is growing and its always becoming tough and tougher for CCM to stay in power in Zanzibar.
If you look on the trends, 1995 Zanzibaris were robbed their democratic decisions small resistance but almost nothing....
2000, some had to be killed....but atleast no military intervention.
2005, the whole Stone-Town had to be seized by JWTZ....
2010,CCM started from the registration stage to play dirty tricks...no idea may be Osama Bin Laden will help us get a 2nd revolution
By the way, many thanks for sharing this document, really appreciated it.
Kama ni wa mwaka 2008 kweli huu utafiti basi ulimhusisha Mkamba, kwani hakuna mahali walipoitaja CHADEMA , ILA Wameitaja wakati ikishirikiana na CUF mwaka 2000 kwenye uchaguzi wa Rais.
Hata Busand walishindwa kusema kuwa CHADEMA ndio waliikabaCCM?
Ama kunachaa kiliutumia kujitafutia pesa nje ya nchi.