Tanzania's Military Geniuses (1812-2012)

Andrew Nyerere,

..thank u for ur service to our country.

..kwenye nchi za wenzetu mashujaa wa vita wana alama zao mbalimbali za kujitambulisha kama vile kofia, t-shirts, etc etc.

..hata kwenye vyombo vya habari kuna matangazo ya shughuli za jeshi na kuwahamasisha vijana kujiunga na jeshi.

..wa-Tanzania mliotumikia jeshini mnapaswa kufanya jitihada ili jamii iwatambue kwa mchango wenu.
 
Last edited by a moderator:
Major Lupogo anaingia wapi kwenye hii listi? Kwasababu najua katika wanastratejia wazuri wakati wa Kagera war alikua mmoja wapo na nimesoma baadhi ya mbinu zake....
 
Major Lupogo anaingia wapi kwenye hii listi? Kwasababu najua katika wanastratejia wazuri wakati wa Kagera war alikua mmoja wapo na nimesoma baadhi ya mbinu zake....

Jamaa ana kiingereza kitamu hadi raha !
 
Hao ni wapiganishaji na si wapiganaji ! Sijui JKT umepita ?

Show me American or British military generals with big belly like those two fools. Concerning JKT, let me remind you the lingo first: Kujongo, minazi, disco, pororo, grini vesti ya kijani, kunyakua, mashtuzi, C ya matroni, n.k.
 
Walipovuka mpaka,Mayunga aliwaambia wanajeshi,'' Tuna kazi ya kufanya,nataka tupate ushindi,from now on the rules will be lax,I just want the enemy killed. Kama huwezi kuua mpaka uvute bangi,please do so,mradi tu tushinde hii vita.'' Kwa hiyo the victory had be crafted. Wale watu wamepigana according to his thought.

Let me call that Mayunga's doctrine.
 
Mimi ninawaona wote mnaotukanana au kutoleana kejeli hamna uwezo wa kujenga hoja.Pia, mnajenga hoja kwa mazoea badala ya kuweka karata mezani mzichanganue kwa umakini.

Sikilizeni, hoja haipingwi kwa adhominem( yani kumshambulia mpinzani wako personally) mradi tu awe mpole uonekane wewe mshindi.Itakuwa vema kuweka sawa baadhi ya istilahi mnazobishana,mfano, genius , je, pande zote mnafasili moja ya neno hilo? Je, nini kinachofanya X awe na sifa hiyo na si Y?

Mada kama hii inatawaliwa na hisia zaidi kuliko ukweli au sayansi.Tazameni, jinsi ambavyo tulimuona Mandela ni shujaa wakati akipambana, mnakumbuka kipindi hicho wazungu walimuonaje? Wazungu walimuona gaidi tu, hali ni hiyohiyo kwa kina Didan Kimathi wa Kenya.

Mimi ninadhani mngeseti vigezo, kisha mkaanza kumpeg kila mtu mahali pake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom