There 3 levels that I am concerned with:
i. World's Military Geniuses
ii. Africa's Military Geniuses
iii. Tanzania's Military Geniuses
In this thread I am dealing with the third level/standard.
Very few Tanzanians make it into the second let alone first.
Usimsahau Mahita na MwemaWhat about Mtemi Kimweri? Also don`t forget Abushiri of Pangani
At least now I remember the piece of our history
Chama
Gongo la mboto DSM
English ya darasa la tatu. Baada ya dont, didnt, doesnt verb inakuwa katika simple form. Hakuna Kiingereza cha, ''didnt attended''. Rudi shule hata Zoom College watakusaidia kwenye QT course
6.Brigadier General Professor Aidan Kohi.1. Kinjeketile Ngwale
2. Mkwawa Munyigumba
3. David Musuguri
4. Chief Chabruma
5. Robert Mboma
6. ...
Now you go back where we started. You are applying affirmative action. Aren't you?
Nay. Kila level ina vinara wake japo wapo walio katika level zaidi ya moja. Ndio maana hata shuleni kulikuwa na vipanga wa darasa, mikondo, shule, kanda na taifa. Humu tunaangalia vinara wa ndani ya Tanzania. Miaka ya 1800 kila sehemu ilikuwa na vinara wake ila kitaifa vinara ndio hao kina Mkwawa, Kinjeketile, Chabruma na wengine wachache. Na miaka ya 1900 vinara wa kitaifa hawakuwa wengi. Hakuna affirmative action hapo. Hao wanaotaka tuwaweke watu tu eti kisa walikuwa makanali na majenerali ndio wanataka kufanya hivyo.
I apologize if my words have offended some people.
umenifanya nimepata hasira kali sana. Kesho siendi kazini
Mtemi Kimweri should be somewhere in the list! or what about Abdallah Twalipo?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chukua tano kwa apology. However, instead of "blaming your words", the red part would have sounded better should it read: "I". Your words means you!
Silas Mayunga. Kwa nini hawa military geniuses wanakumbukwa sasa? Au Joyce Banda analeta tishio?
LT.GEN.ABDURAHMAN SHIMBO bonge la genius aliwenda kuhifadhi mabilion S.A
huo pia ni UJINI-ass
umenifanya nimepata hasira kali sana. Kesho siendi kazini
You must be rewriting history,Samori Toure was never the harbringer of the "SCORCHED EARTH POLICY"My kid Companero you are trying to paint the wind knowingly that doing so is but megalomania. I think I know what I am saying.
Call it military genius or war genius. If you mean what the term is, you can't pointlessly include those you think to be figures such as Mboma without reckoning to the history. Can you just give only one of Mboma's genius.
I don't want to go to the history of military Genius like Samori Touri who invented the method known as scotching earth or Moshe Dayan and other military gurus. Even Arjuma in this case is better than your "military genius" Mboma. If anything, Mboma is a dastard military genius.
You must be rewriting history,Samori Toure was never the harbringer of the "SCORCHED EARTH POLICY"
Zakumi, hili ndilo nililokuwa nalisema - being a 'fisadi genius' does not strip one of his 'military genius-ness':
Robert mboma was genius in his profession as a fighter pilot. He performed well during his studies in russia (former soviet union), he fought well in kagera war, his maneuver was incredible so to speak. Mboma kaharibu sifa yake kwa kukubali kushirikishwa kwenye ufisadi na wanasiasa wenye uchu wa ccm kwa kulitumia jeshi.