Tanzanians flying the flag high overseas

Hawa wakenya wajinga sana, wanajiona wapo juu kwenye kila kitu. hata vingine vya kipuuzi. Tutarekebishana nao hadi wakome, hapa sio nairobi

Tuna sababu za kujisifu, tumewashinda kwa kila kitu
- East Africa Military Games, Kenya ndio top
More Sports: Kenya Tops East Africa Military Games

- Top university in East Africa - UON namba tisa
Africa | Ranking Web of Universities

- Economy might in East Africa - hili halina mjadala maana GDP yenu inaonja vumbi yetu

- Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! Kenyans wapo pia
Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! | Africa Top Success

Yaani hata sijaanza, naweza jaza huu uzi wote. Hivyo usihangaike kupimana misuli na Wakenya. Nchi yetu ndogo, na nusu yake ni kame lakini tunajituma kama sisimizi. Hata Bongo utatukuta tunapiga deals. Wapo kaka zenu Wabongo wasio wavivu na hawana chuki na Wakenya, wanapiga biashara na sisi na hutawakuta Uswazi Mazense huko kwako, bali wapo wanaishi kama kule Mikocheni. Unapomtembelea kikao, unamwona anacho kikao na Mkenya, halafu baadaye anaingia Mchina, anafuata Mhindi.... jamaa hawana ubaguzi, bora umpe project plan inayo make sense.
 
nyang'au balozi mteule wa
alshabaab tanzania karibu.mla bata canada na wazungu kuota jua ni tz.
National
[h=1]Kenya arrests Tanzanians in terror dragnet[/h]

ico_plus.png
Share

ico_bookmark.png

Bookmark
ico_print.png
Print

ico_email.png
Email
Rating

TZ.jpg

3: The number of Tanzanians arrested by Kenyan
military personnel nea Lamu

umenichekesha ulivyoanza hapo juu mkuu..
 
Tuna sababu za kujisifu, tumewashinda kwa kila kitu
- East Africa Military Games, Kenya ndio top
More Sports: Kenya Tops East Africa Military Games

- Top university in East Africa - UON namba tisa
Africa | Ranking Web of Universities

- Economy might in East Africa - hili halina mjadala maana GDP yenu inaonja vumbi yetu

- Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! Kenyans wapo pia
Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! | Africa Top Success

Yaani hata sijaanza, naweza jaza huu uzi wote. Hivyo usihangaike kupimana misuli na Wakenya. Nchi yetu ndogo, na nusu yake ni kame lakini tunajituma kama sisimizi. Hata Bongo utatukuta tunapiga deals. Wapo kaka zenu Wabongo wasio wavivu na hawana chuki na Wakenya, wanapiga biashara na sisi na hutawakuta Uswazi Mazense huko kwako, bali wapo wanaishi kama kule Mikocheni. Unapomtembelea kikao, unamwona anacho kikao na Mkenya, halafu baadaye anaingia Mchina, anafuata Mhindi.... jamaa hawana ubaguzi, bora umpe project plan inayo make sense.

hahaha maina huishiwi vituko.haya nisalimie rafiki yangu john njoroge hapo roysambu.he used to be my caretaker.
 
Kenyan flying His countries flag high helping helpless neighbor......Tanzania yashindwa kupeleka kocha na watu wa kuwahudumia mabondia kwenye mashindano ya madola.Bondia Suleiman Kidunda,ahudumiwa na wakenya wakati akipigana na Kehinde Ademuyiwa wa Nigeria.
Salute kwenu wasamaria wema.
I appreciate your help, ila msingevaa hiyo uniform ya Kenya, mnatuaibisha na mapungufu yetu aisee!
 
Tanzania tupo vizuri ila tu mamlaka hsuika hazina mpango wa kutangaza vipaji!
Kenya wazuri ktk Matangazo, hapo nawakubali!
 
Tuna sababu za kujisifu, tumewashinda kwa kila kitu
- East Africa Military Games, Kenya ndio top
More Sports: Kenya Tops East Africa Military Games

- Top university in East Africa - UON namba tisa
Africa | Ranking Web of Universities

- Economy might in East Africa - hili halina mjadala maana GDP yenu inaonja vumbi yetu

- Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! Kenyans wapo pia
Prize of innovation Prizes for Africa 2014: the 10 finalists listed! | Africa Top Success

Yaani hata sijaanza, naweza jaza huu uzi wote. Hivyo usihangaike kupimana misuli na Wakenya. Nchi yetu ndogo, na nusu yake ni kame lakini tunajituma kama sisimizi. Hata Bongo utatukuta tunapiga deals. Wapo kaka zenu Wabongo wasio wavivu na hawana chuki na Wakenya, wanapiga biashara na sisi na hutawakuta Uswazi Mazense huko kwako, bali wapo wanaishi kama kule Mikocheni. Unapomtembelea kikao, unamwona anacho kikao na Mkenya, halafu baadaye anaingia Mchina, anafuata Mhindi.... jamaa hawana ubaguzi, bora umpe project plan inayo make sense.

Umesahau kuwa mnaongoza kuwa na mashoga wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom