Tanzanian strategy prepared by World Bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanian strategy prepared by World Bank

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Dec 26, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  by Natasha Redman
  26th Dec 2010

  The World Bank has started to prepare a new strategy to assist Tanzania in consultation with numerous other stakeholders.

  The World Bank has said in a recent statement that the Country Assistance Strategy (CAS) that will be in place for three years from 21012 to 2016 supersedes the previous Joint Assistance Strategy for Tanzania (JAST) that was first implemented in 2007 with other partners in development.

  The CAS, which is prepared after three or four years, outlines the strategy of the World Bank to assist with its economic and social development. This strategy is based on assessments made on development priorities. It also gives an indication of the level of assistance that will be provided by the World Bank.

  The World Bank has said that the consultation process for Tanzania’s CAS commenced earlier in the year in June, and will continue until February of 2011. The consultation process comprises of a number of different elements, such as client surveys and meetings with various actors and stakeholders.

  The World Bank also said that three regional workshops were also recently concluded with various stakeholders throughout the Mbeya, Mwanza, and Zanzibar regions of Tanzania.

  During these meetings, stakeholders were briefed about the role that the CAS will play, as well as about on-going programs, issues, challengers, and achievements to date in Tanzania and various development programs in the country.

  The objective meetings like this with stakeholders is to make sure that the new strategy to assist countries reflects the recommendations and perspectives of stakeholders and governments.


  Source: Discount Vouchers (UK)
   
 2. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio maana badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma.The world bank preparing a development strategy for us?The reverse is true.They are infact preparing an underdevelopment budget for us!Wajinga ndio waliwao.
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Development strategy ya ku-support vipaumbele vya serikali katika maendeleo! Hakuna ubaya....lakini kama unavojua " No free lunch" wakija na conditions zao ni lazima ukubaliane nao!
   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kumbuka ni hawa hawa World Bank ndio walifadhili zoezi la ujamaa villagisation, kumbe kichinichini wakawa wana-sabotage ili Tanzania iwe mfano mzuri wa kushindwa kwa kwa ujamaa. World Bank ni Ndumila kuwili!
  Halafu sasa ina maana hatuna wazalendo wanaoweza kutengeneza hizo strategies?
   
 5. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tujifunzeni kusoma kabla ya kutoa michango yetu na kama jambo haulijui basi si kosa kuomba msaada kwanza kabla ya kubandika maoni yenu hapa. Kwa faida yenu ninanukuu bandiko la OP kuhusiana na WB's CAS na tafadhali tieni mkazo maandishi yenye nyeusi iliyokolea:

  "The World Bank has said in a recent statement that the Country Assistance Strategy (CAS) that will be in place for three years from 21012 to 2016 supersedes the previous Joint Assistance Strategy for Tanzania (JAST) that was first implemented in 2007 with other partners in development.

  The CAS, which is prepared after three or four years, outlines the strategy of the World Bank to assist with its economic and social development. This strategy is based on assessments made on development priorities. It also gives an indication of the level of assistance that will be provided by the World Bank."

  Benki ya dunia kama walivyo wahisani wengine na walipa kodi kama mimi na wewe ni wadau tu wa gurudumu hili la maendeleo. CAS ni tathmini ya maeneo ambao wao benki ya dunia wanaona ni bora wawekeze zaidi katika kusaidia kusukuma gurudumu hili letu. Nchi husika zina mikakati yake na taswira zake binafsi za miaka mbalimbali za jinsi gani ya kufikia malengo yao wenyewe. Tanzania tumekuwa na MKUKUTA I na sasa MKUKUTA II yaja (rasimu kazi ipo tayari), tumekuwa na Development Vision 2025 kwa muda sasa, Medium Term Expenditure Frameworks za kusaidia kufanikisha malengo ya mikakati mirefu ya maendeleo na kutoa mwongozo kwa bajeti za kila mwaka kwa muda mrefu sana.
  Na vile vile pia kwa sasa hivi kama nchi tunafanya kazi na wenzetu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia mipango na mikakati mbalimbali na kuweza kuioanisha kwanza na mahitaji ya nchi husika na pili itifaki za Jumuiya hii.

  Taarifa kuhusiana na hayo yoye niliyoainisha zipo nyingi tu na mkitaka mnaweza kuanza na mtandao wa wizara ya fedha.
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  PatPending

  Naomba mafanikio ya vision 2025, mkukuta and any Framework. Mimi sioni hata moja kwa sababu nne:-

  1. Hizo strategies are externally driven kutembeza bakuli la ombaomba (umatonya wa kitaifa)
  2. Wanaotayarisha kipaumbele chao ni kipato cha kipindi hicho hawaamini kwenye majukumu wanayotakiwa kufanya.
  3. Polical will ni cosmetic kwa sababu uwezo wa "watawala" si viongozi ni mdogo sana, na wenyewe wana agenda zao zisizo na maslahi ya kitaifa.
  4. Ushirikishwaji wa walengwa ni zero wanaishian AICC, Girrafe, Paradise kutengeneza makablasha.

  World Bank ni ofisi iliyokwisha binafsishwa kwa wenye hisa. Wanachofanya miaka yote ni kwenda na upepo wa ujinga wako (Nina maana ujinga wa viongozi wa wakati huo). Wajanja kama Ghana wako juu.

  Development priorities hazitoki Washington. Miaka ya utawala wa kimbumbu umeathiri fikira sahihi za kimaendeleo. Wewe mwenyewe umewataja kama wahisani. Mhisani atakufuata nyumbani kwako kwa vipaumbele vyako au vyake?

  TATIZO HATUNA WATU WALIO COMMITTED KUFAIDIKA NA UHISANI HUO. HAPO BONGO NI BUSINESS AS USSUAL
   
 7. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu, kuna machapisho ya Poverty and Human Development Reports (PHDRs) ambayo pia huwa na Status chapters ambazo nadhani zilitoka mbili kusindikiza utekelezaji wa MKUKUTA pamoja Vision 2025. Hizi zinapatikana kwenye mtandao wewe zi google tu na yatakupa taswira nzuri ya hatua zilizopigwa kwenda mbele au nyuma katika kusukuma gurudumu la maendeleo

  Ukisoma bandiko langu vizuri utagundua ya kwamba nilikuwa najaribu kueleza na nyaraka au mikakati gani ya maendeleo Tanzania inaweza kusema inahodhi kama ya kwake yenyewe. Ukweli ni kwamba Tanzania na nchi nyingine nyingi huwa zinapata msaada kutoka nje katika matayarisho ya mikakati yao. Ushindwaji wa mikakati yetu ya maendeleo kuakisi mahitaji na matakwa ya waTanzania si kosa la wadau wa nje bali ni la kwetu sisi wenyewe.

  Of course kila mtu anatambua kwamba mandate ya WB imefanywa kuungwa ungwa tu tokea ilipoanzishwa kama benki ya kusaidia ujenzi wa nchi wahanga wa vita Kuu ya Pili ya dunia. Kwa nchi zetu masikini za Afrika ( tafadhali waweke Botswana, Namibia na wengine wachache kando) hakuna mjanja yeyote yule hata Ghana na hao Uganda wanaosifiwa sifiwa bado na wao wana shida na matatizo kede kede.

  Kwenye suala la vipaumbele, hivi huwa tofauti hata toka kwa mtu mmoja mpaka mwingine na hivyo hata siku moja usitegemee vile ambavyo benki ya dunia imevitaja vishabihiane na vile ambavyo aidha serikali yetu na/au sisi wananchi tunataka. Sababu zingine ni vipaumbele kutofautiana inatokana na past history/experiences na pia matakwa ya mhisani. Rejea kiwango cha uwekezaji katika miundo mbinu cha benki ya dunia Tanzania kati ya 1970 na 2000 na matukio ya kishenzi ya ufisadi yanayokatisha tamaa ya watawala wetu.

  Of course all of the above is not to say that the WB are saints, they have plenty of dirt of their own
   
 8. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi bado nawalaumu sana hawa world bank so far...!

  Ukiangalia chanzo cha kupanda kwa gharama za umeme hivi karibuni kwa kiwango cha 18% kimetokana na hao world bank kupitia mradi ambao wamanufadhili kupitia mkopo kwa ajili ya Ujenzi wa Tanzania Backbone Investment Project. Katika mradi huu world bank walishauri serikali kuongeza kiwango cha gharama za umeme ili kuiwezesha TANESCO kupata pato kubw azaidi ka kuweza kufadhili mradi huu...!

  madhara yake tunayaona sasa...! Watu tumekua tukilalamika kuhusu kupanda kwa gharama za umeme bila kujua chanzo, chanzo ni hawa worl bank na sera zao ambazo kwa kiasi kikubwa they have become a failure to developing countries...! Fuatlia hii link kwa taarifa zaidi...!


  Projects - Tanzania : Tanzania - Backbone Transmission Investment Project
   
 9. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Pathetic kwamba waafrika hatujifunzi. Hivi kweli mpaka leo kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kutegemea kwamba WB inaweza kufanya jambo la maana la kuleta maendeleo? Jamani lets be realistic. World Bank is no Red Cross! These people are doing business. Tatizo kubwa tulilonalo Africa..hawa jamaa wakija kwetu they co-opt few elites from our midst..na hao ndo wanaoanza kuongea nao lugha moja. We have been dealing with the WB for the past 50 years! Where do we stand? Yaani honestly, to me mtu akiongelea World Bank nasikia kichefuchefu. It is one of the mafia institutions we have in the modern era. Ndo maana Latin America na baadhi ya nchi za Asia wamejinasua kutoka mikononi mwa hii institutions.

  Kwa wale mnaoitetea hii Bank..well you might have your reasons..perhaps as employees or consultants..lakini kwa wengine tunaoangalia hizi issues objectively..World Bank will never take us anywhere!

  Pathetic the way WE Africans think!
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tanzania tumekuwa wakusaidiwa saidiwa tu . mpaka lini haya yataisha...inasikitisha sana ...hata pale shule inapokosa madawati eti UN wanatusadidia! .....hii ni udhalilishaji wa nchi....mbaya zaidi wakati tuasadiwa ......nchi ina mafisadi wakubwa sana.........Jamani watz tuchague viongozi makini kila inapotokea fursa
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hakuna wadau wa maendeleo DPs wanaotoa msaada bila framework.UN Tanzania wamamaliza ya kwao December 2010 - inaitwa United Nations Development Asssitance Plan (UNDAP)na ilichukua takriban mwaka mzima kuiandaa na itaanza kutumika July 2011.

  Hii CAS ya World Bank nayo ni kuweka namna ya kutoa misaada yao lakni ndani ya JAST - Kimsingi tunatakiwa kusoma hizo strategies na kuzielewa ili tuone tuna fit vipi. Huu siyo wakati wa kuziponda au kuzikosoa maana zimeandaliwa kwa ' ushiriki" wetu wote kupitia taasis za serikali na NGOs.Pia huwa kuna fursa za watu kuchangia thru public fora sasa kama tunasubiri hadi zitoke ndio tuje kulalamika basi tumeumia.

  NB" Hizi framework hutengenezwa kuakisi MKUKUTA ambao ni mpango wa serikali ya Tanzania kukuza uchumi na kuondoa umasikini Tanzania
   
 12. n

  nomasana JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  not good at all. kikwete should reject this
   
 13. n

  ndimuchumvi Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi huwa naamini tunaweza kufanya vizuri zaidi bila utegemezi wa hawa WB .kinachotushinda ni utegemzi wetu wa mkubwa kwao kutusaidia kufikiri na hata kutenda.tungeachaana kiasi kuhakikisha tunajenga uchumi imara ambao tunaumudu bila kuingiliwa na haya mashirika tungesonga mbele and kuwa huru.maadam budget yetu ni asilimia arobaini tegemezi kwa wahisani lolote wanaweza kutuambia hatuna ujanja.
   
 14. C

  Chagula Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: May 1, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :embarrassed:Wazalendo tunao tena wasomi hasa, lakini woote hawasemi kama chama na serikali ni hiyohiyo, tunachanganya siasa na utendaji matokeo watendaji wanashindwa kufanya kazi zao kwa vile wanasiasa na chama chao wanatawala kikamilifu, wantawala Bunge, wanatawala Serikali mpaka hata mahakama wanaitawala. Wewe uliwahi kuona wapi nchi huru inapanga bajeti yake ya Taifa kwa kutegemea pesa za kutoka kwa wafadhili? si ni aibu hii? kama si ufisadi ni nini. Nchi haina hata kitu cha kusafirisha nchi za nje ikapata hela za kigeni, na kama kipo na hela za kigeni zikaingi, basi Mafisadi wanazichukua na wataalamu wetu wenye elimu ya uchumi wapo wanaangalia tu na hawasemi chochote ingawa wanajua. We acha tu World bank itupangie, mbona haizipangii nchi za Ulaya? Ni kwa sababu Ulaya nchi nyingi, siasa haingilii kazi za serikali, siasa haingilii maamuzi ya Bunge, ila Serikali intekeleza ilivyoagizwa na bunge,. Tanzania nchi inaongozwa na CCM, inatekelza jinsi CCM inavyotaka siyo jinsi Bunge linavyotaka kwa niaba ya Wananchi.
   
Loading...